Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Pole ila ukweli mchungu unaenda kupoteza mwanaume anayekupenda kwa sababu ya kuendekeza usister duu, kwani huwezi kuishi bila picha na hao masharobaro? Huwezi kuacha nyendo za mashaka kama kuchat na wanaume? So you are going to be a single mama.

Milishaacha kila Mkuu. Alafu kwa nn niwe single mother wakati sina mtoto wala ujauzito wake?
 
Wewe una wanaume wengi, jamaa yuko sahihi!! Meseji za nyuma na wanaume wako ukiwa chuo kwann huzifuti mpaka bwanaajo anazikuta?

Ulipokataa kutoka na jamaa kisa Research proposal na assignments za nini wakati ulishasema wewe ulishamaliza chuo zamani??

Wapi nimesema nimemaliza chuo mkuu? Nimesema nilikua field now ndio namalizia third year
 
daaaaaaaaaaaaaaaah kuna wanaume wanachezea chance ......................imagine nina pesa ndefu sana (mwaka huu ntawekwa kwenye list ya 21 ya forbes as kijana tajir chin ya miaka 30) ................lakn cjawahi kubaliwa na demu af kuna msenge anachezea chance adimu hizo
Nyie ndio wale madomo zege....
hakuna kitu rahisi kama kutongoza mwanamke
 
Milishaacha kila Mkuu. Alafu kwa nn niwe single mother wakati sina mtoto wala ujauzito wake?
Itaanza hivi, unachana na huyo atakupa mwingine, atakuvumilia kasoro zako mpaka utamzalia ila kwa kuwa hutabadili tabia basi atakuacha pia, kumbuka hamna single mama aliyependa kuwa hivyo ila ni matokeo mojawapo ni hiyo tabia uliyonayo.


Badilika
 
Kuna baadhi ya wanaume wenzetu wanatuzalilisha sana penGine huyu mleta mada ni demu wa kawaida tu lakini ona sasa "alivyojimwambafahi"

Wanaume embu tuachaneni na hawa mademu wa YES NO YES NO ACTUALLY nyingi

Nimeona aibu sana kuona mwanaume mwenzangu analia kisa UPCOMING MEDIA HOST
 
Kuwa single kuna tatizo gani? Uchumba sugu na kuwa single bora nini?

Uko na jitu limekuganda tu watu serious wanakupotezea wanajuwa mzigo una booking huu kumbe unawapotezea muda watoto wa watu halafu baadaye unaowa mwingine, hii siyo sawa.

Ni bora kuwa single zikimbana anamtunuku mtu utamu maisha yanasonga tu.
Sijajua umri wako ila wewe ni mvulana bado kiakili.
 
Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Ndyo umeamua kunileta Hadi jf bas jibu sms zangu jaman my love
 
Huwezi amini pamoja na yote but he is so lovely na sijawahi kumuomba hata mia
Kuna namna nyingi ya kuomba hela ambapo si lazima utaje neno hela kwenye maelezo yako

Ushazoea kuwa mcheshi kwenye simu mkiwasiliana, siku anakupigia unajibu kinyonge anauliza nini shida?

Unamjibu kodi ya nyumba imeisha afu mwenye nyumba kamaindi anataka kunipa notes alikua ananifokea hapa na ndio maana nimepokea simu yako nikiwa katika mode hiyo

Umeona pesa ilivyo ombwa hapo, kuna neno hela hapo?
 
Back
Top Bottom