Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Nimewahi pia kua na mahusiano na binti asiyejiamini yani kila mda usipomcheki anahisi uko na mtu.
Ukipigiwa simu wakati upo nae na usipopokea ua text imeingia na hujaijibu wala kumuonesha ujue hiyo ni keshi baadae lazma akumaindi kinoma.

Lawama haziishi, marumbano kama yote, ni kazi sana kua na mtu wa hivyo aiseee.

Pole sana ila huyo wako alizidi viwango, mwisho wa siku angeweza hata kufanyia kitu kibaya sasa. Na mwanaume kumuandikia manzi gazeti la lawama haipendezi aisee.

Acha tu 🥲
 
Eeeh Miss Cherry pole mrembo. Nakuomba huku Ruangwa kwa (PM), unifanye tulizo lako. Najua unasumbuka na maumivu ya moyo wakati huu, Ila kwa namna nilivyoguswa na stori yako, naomba ukaribie kwangu nikupumzishe na maumivu hayo.

Kama shetani ndo ananielekeza kwako basi, naomba mwenyezi aniepushe mbali. Lakini kama ni hisia zangu za dhati kwako, basi akupe tafakuri ya haja ukaribie Ruangwa, tuanze kuchora mstari wa furaha na amani ya moyo.
Tarajia kheri mama kutoka usukumani.

NB: U-handsome bahati mbaya waligawiwa wengine Mimi nikasaulika.

 
Pole Dear, Though Nimependa mtiririko wa uandishi wako.

Kifupi Unaonekana upo vizuri kiakili na Hata kimwili.

Ushauri wangu Naomba uendelee kumkazia uyo jamaa Hadi achoke na akusahau kabisa.

Nimekupenda bure.

Asante Mkuu.
 
Terms za nini akati mzinguaji ni huyo dada...aache wenge tu
Two options.

1. Mpe last chance and wekeaneni terms. Mueleze vile unafeel. Akibreach hizo terms move mazima.

2. Piga block mahali, kuendelea kuona message zake na calls zake soon utamrudia na haya yataendelea.
 
Hehehehehe acha nicheke tu...

Umenikumbusha ex bf wangu wa kwanza, alikuwa na tabia za kindenzi kama hizo! Ila hili la kwangu lilikuwa linapenda kitonga mteremko na halijui nini maana ya mwanamke asee, halijui kucare,lenyewe linajua kuomba uch..tu...nikaliambia kafie mbele mwanaume kama mwanamke asee full kujiliza
😂😂😂😂😂😂
 
Jamaa sio yeye kweli ambae ulitua kwenye maji bukoba kwa stress za mrembo
 
Jamaa sio yeye kweli ambae ulitua kwenye maji bukoba kwa stress za mrembo
 
Back
Top Bottom