Binafsi Naona kuna vitu umetudanganya kwenye hii story yako:
UONGO WA KWANZA ULIOTUAMBIA
Hupendi wanaume handsome sana, hii sio kweli, aidha we ni sitaki mbichi hizi, au ulijaribu kudeti na wanaume wa aina hiyo wakaishia kukuumiza, Au hawakukuchukulia serious, walikula mzigo wakasepa...Hakuna binadamu asiependa kitu kizuri
UONGO WA PILI ULIOTUAMBIA
Ulimpenda jamaa yeye kama yeye, hlf jamaa ni kibonge, mwanzoni hukumpenda hofu baadae ukampenda (huu ni uongo) ukweli ni kuwa huyo mwanaume Ulimpendea hela, Utakuta alikua anakupa sana hela bcoz kwenye maelezo yako ulisema huyo mwanaume ni rubani, na kibongo bongo tunaamini rubani wanalipwa pesa mingi..Na huyo mwanaume alijua unampendea hela ndo maana alikua insecure, huenda kuna 2nd side ya story hujatuambia, labda ulikuwa unambania papuchi..unamuomba sana hela, ulikuwa unam-mistreat Etc.
Yote 9, kama uloongea kuhusu huyo x wako Ni kweli, bhasi huyo x wako hana akili
Miss Cherry