dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,606
- 60,877
Wacha weeHuwezi amini pamoja na yote but he is so lovely na sijawahi kumuomba hata mia
Wacha weeHuwezi amini pamoja na yote but he is so lovely na sijawahi kumuomba hata mia
Hutaona utofauti kati ya rungu na bomu eti kwakua zote ni silaha?Wote kazi zao ni zile zile kusafirisha abiria jiamini!
Wewe una akili gani?Sijajua umri wako ila wewe ni mvulana bado kiakili.
Mtu wa Kwanza uliyemsoma vizuri.Wewe una wanaume wengi, jamaa yuko sahihi!! Meseji za nyuma na wanaume wako ukiwa chuo kwann huzifuti mpaka bwanaajo anazikuta? 😂😂
Ulipokataa kutoka na jamaa kisa Research proposal na assignments za nini wakati ulishasema wewe ulishamaliza chuo zamani??
Naamini hiyo ni moja ya funzo katika maisha ... mimi naona imekaa kama changamoto iliyo ndani ya uwezo wako .. pia naona inarekebishika ... ili ukomae kimahusiano kuna mapito lazma utapitia .. no one is perfect trust meHabari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Mm sio yule mdada ambaye siwezi kuishi pasipo kudate, bado nipo chini ya wazazi kwaiyo simtegemei yeye financially
Mungu amenijaria kipawa cha kusoma emotions za watu.Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Usimsamehe please!!Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
Taarifa hizi zimfikie lemutuz mzee wa bebezHabari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.
daaaaaaaaaaaaaaaah kuna wanaume wanachezea chance ......................imagine nina pesa ndefu sana (mwaka huu ntawekwa kwenye list ya 21 ya forbes as kijana tajir chin ya miaka 30) ................lakn cjawahi kubaliwa na demu af kuna msenge anachezea chance adimu hizo

Ana supplementary mkuuWewe una wanaume wengi, jamaa yuko sahihi!! Meseji za nyuma na wanaume wako ukiwa chuo kwann huzifuti mpaka bwanaajo anazikuta?![]()
Ulipokataa kutoka na jamaa kisa Research proposal na assignments za nini wakati ulishasema wewe ulishamaliza chuo zamani??


Inaonekana wazi kuwa hajiheshimu,pasua kichwa na ana utoto mwingi ndio maana jamaa anashindwa kumuamini.Pole ila ukweli mchungu unaenda kupoteza mwanaume anayekupenda kwa sababu ya kuendekeza usister duu, kwani huwezi kuishi bila picha na hao masharobaro? Huwezi kuacha nyendo za mashaka kama kuchat na wanaume? So you are going to be a single mama.