Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

Hivi mtu unaanzaje kuwa na relationship ya kufa kwa mademu Hawa wa chuo..

Though sio wote lakini Hawa huwa wana expectations kubwa sana za maisha, bado umri wa kuweka status haujaisha, U rihanna na U Beyonce bado mwingi sana.

Hapo Braza akaze na yeye aache kulia lia rubani mzima pesa zipo unashindwa kutafta mtoto mwingine mzuri
 
Mimi pia ni rubani sina wivu nakuja pm tuyajenge single girl
 
unawataka walamba lips sasa aya tupo hapa,ila sipendi mtu .wenye wivu wa kupitiliza,we ulishindwa nin kuja kuuliza jinsi ya kudeal na watu wenye wivu
 
Wewe una wanaume wengi, jamaa yuko sahihi!! Meseji za nyuma na wanaume wako ukiwa chuo kwann huzifuti mpaka bwanaajo anazikuta?

Ulipokataa kutoka na jamaa kisa Research proposal na assignments za nini wakati ulishasema wewe ulishamaliza chuo zamani??
Huyu sister vipengele vingi sana kajichanganya. Stor kaitia sana rangi mpaka inataka fanana na chai. Au ni chai?
 
Anaekuonea wivu ndo anakupenda kweli...ila ulikuwa na jukumu la kubalanc wivu wake kwa kuondoa makando kando ambayo mwenyew ndo umekir ulikuwa unayafanyaa......ipo siku utajakumbuka umuhimu wa wivu wake pale utakapokutana na nunda kama mim ambaye siulizi chochote ili mradi tu umenipa mbususu..na kwa hil nnavyojua wanawake mnavyopenda attention utaa za kulia lia tena kwamba mpnz wangu hanijali.....in short bora shetan unaemjua kulikom malaika ambaye haumjui
Nondo nzito
 
Umejaribu mpaka matope ya wivu uliopitiliza Ila Bado unaonekana wewe ndo kipengele Kama unajua men wako anawivu kwanini unaendelea na wengine hao wote wanataka kukupiga kaa utulie na mtu ambaye Ana niya njema na future yako afu umeanza kikuda Sana eti kisura sio mzuri tokea lini kwenye standard za mwanaume uzuri unaingilia wapi na utoe huo ukuda wakwamba yeye na wewe ni ardhi ma mbingu kwa kipi hasa jifunze kuthamini mtu. Ndo maana una unaendekeza vilamba lipsi utakuja kuelewa ukikua Kama bado ndo uko field wewe Safari bado sana
 
daaaaaaaaaaaaaaaah kuna wanaume wanachezea chance ......................imagine nina pesa ndefu sana (mwaka huu ntawekwa kwenye list ya 21 ya forbes as kijana tajir chin ya miaka 30) ................lakn cjawahi kubaliwa na demu af kuna msenge anachezea chance adimu hizo

Mbona watu wenye pesa ndefu hawajitangazi mkuu
 
kuna wakati uwa naanzisha ugomvi tu bila sababu uwa natest mitambo.
wagombanao ndio wapendanao.
Tabia za huyo jamaa zote ninazo.
 
Hehehehehe acha nicheke tu...

Umenikumbusha ex bf wangu wa kwanza, alikuwa na tabia za kindenzi kama hizo! Ila hili la kwangu lilikuwa linapenda kitonga mteremko na halijui nini maana ya mwanamke asee, halijui kucare,lenyewe linajua kuomba uch..tu...nikaliambia kafie mbele mwanaume kama mwanamke asee full kujiliza
Lakini alishakula mzigo
 
Ndiyo maana huwa sipandagi ndege!!!! Lijamaa liko angani linawaza kitumbua!...hovyo kabisa Mbumunda hilo achana nalo!!!

Ndiyo maana siku moja niliona ndege inapita kwenye taa nyekundu shaaa kumbe lilikuwa hilo lijamaa linawahi kutua, hovyo kabisa!
 
Kuna namna nyingi ya kuomba hela ambapo si lazima utaje neno hela kwenye maelezo yako

Ushazoea kuwa mcheshi kwenye simu mkiwasiliana, siku anakupigia unajibu kinyonge anauliza nini shida?

Unamjibu kodi ya nyumba imeisha afu mwenye nyumba kamaindi anataka kunipa notes alikua ananifokea hapa na ndio maana nimepokea simu yako nikiwa katika mode hiyo

Umeona pesa ilivyo ombwa hapo, kuna neno hela hapo?
noma mkuu ...
 
Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.

Niende moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe sana, naandika nikiwa nimenyong’onyea sana ila najikaza tu kwa sababu maisha lazima yaendelee ila kimsingi ni kwamba mahusiano yangu yamefikia tamati na hii haina budi kutokea sababu mambo yamekua mengi kiasi kwamba unaona haina tena haja ya kuigiza upo na furaha kumbe kiuhalisia sio kweli.

I was dating a guy, siwezi kusema handsome guy nitakua nadanganya kwa sababu mimi sipendi wanaume wenye muonekano mzuri saana, yaani hicho sio kipaumbele kwangu kabisa. Basi bwana mahusiano yalianza mwaka mmoja uliyopita na tulikutana kule mjini Instagram.

Kama utani mambo ya DM haya mtoto wa kike nikaingia kingi baada ya kupigwa saundi za kufa mtu nikaona isiwe shida ukizingatia nilikua single kwa muda kidogo. Basi bwana baada ya kuwa na urafiki na huyu jamaa kwa muda wa kama mwaka hivi hatimaye nikakubali DM yake na tukaanza kuhamia WhatsApp, tukakubaliana kuonana na kweli tukaonana na tukaanza kujenga Chemitry na hatimaye tukaanza kuwa wapenzi.

Nachelea kusema mwanzo sikumpenda sana jamaa yaani nilikua nachukulia kawaida mno lakini kadri siku zilivyokwenda nilijikuta nampenda kwa sababu alinionyesha upendo wa hali ya juu, here am not talking about money no, just ile caring yake yaani he was there for me.

Asikwambie mtu huyu ndiye alikua mwanaume wa kwanza mnene kudate naye, nilikua sijawahi kabisa kudate mtu mwenye mwili wa kijayanti lakini kusema kweli nimegundua wanaume wanene warefu wenye muonekano wa kawaida wanajua kupenda nyie . Jamaa anampunga kiasi maana ni rubani katika shirika fulani la ndege hapa nchini lakini kwangu mm hiyo haikua issue sana kwangu kilichonivutia kwakwe ni kwamba ananipenda sana na yuko romantic kinoma.

Shida sasa ni kwamba ana wivu ule ambao haupimiki, yaaani nikisema mtu ambaye ana wivu alafu very insecure sijui kama mnanielewa? Kwanza alianza kufatilia sana cm yangu anasoma text na kuangalia call logs kila tunapoonana, ole wako sasa apige cm yako inatumika hiyo kesi sio ya nchi hii.

Kwakua nilishaanza kumpenda nikaona acha nimvumilie na kuanza kumuelewesha taratibu kwa kua kila mtu ana namna yake ya kupenda nikaona sio tatizo kubwa, lakini kabla ya hapo kuna siku alishika cm yangu kwa mara ya kwanza tangia tumeanza mahusiano so akakutana na text za nyuma nachat marafiki wa kiume tunaitana baby lkn sio wapenzi siunajua ile kichuochuo yaan kama utani tu weeee basi akanichukulia kama mdada mwenye mambo mengi kumbe wala ni ile kutaniana tu ukizingatia nilikua singo.

Basi bwana maisha yakaendelea akaanza ku block watu kwenye cm yangu, yaaan tukionana baada ya salamu tu anakagua cm nilikua sipendi kwa sababu hamna kitu kibaya nafanya kwaiyo nikawa najiuliza huyu kwa nn haniamini kiasi hiki? Mm mbona nimejifunza kumuamini na wala simu yake siigusi? Basi nikawa naanza kukosa furaha kidogo kidogo lakini napotezea kwa sababu nampenda. Kuna siku aligonga gari kwa nyuma kwa sababu ya kugombania simu ikawa kesi akamlipa mwenye IST yake laki mbili ya kunyoosha bampa nikasema huyu kaka sio mzima Wallah.

Nikiri kwamba kimuonekano mm na yy ni sawa na mbingu na ardhi ndio maana anakuwa very insecure lakini nilijitahidi kumuonyesha upendo wa hali ya juu cz kuna vitu amazing ambayo yupo navyo na sio rahisi kuvijua kama hauna ukaribu naye.

Siku za nyuma tukigombana namwambia tuachane na sijali basi huwa ananibembeleza tunarudiana alivyofanikiwa kuteka hisia zangu sikuwahi hata sikumoja kumtamkia neno kuachana sababu mm kama nikimpenda mtu basi kumuacha ni ngum sana kwaiyo sitaki kuropoka kitu ambacho naona kitaniumiza na siko tayari kubreakup.

Basi kama miezi mitatu iliyopita nimeshaachwa kama mara tano hivi, tukikosana kidogo utaskia huniheshimu kama vipi tuachane, mtoto wa watu naomba msamaha yanaisha. Kuna kipindi nilikua field Kwenye moja ya media kubwa hapa nchini weee hapo ndio tulikua tunagombana almost everyday. Siku hiyo akanambia tuachane maana huniheshim unapiga picha na wakaka, mara kwa nn mnawasiliana yaaan hata kama ni mambo ya kazini, nikasema huu sasa ni upuuzi nikamwambia poa tuachane, siku haijaisha anaanza kuteseka yy na mm najishusha yanaisha.

Sasa jana tarehe 17.11.2021 nimeona isiweshida, bora haya mahusiano yafikie mwisho. Mpaka mtu anakwambia tuachane kila mki mess up basi huyo atakua anamaanisha anachokiongea nikasema leo afe kipa afe beki tunaachana kweli na haijalishi nampenda kiasi gani bora nife nimechoka sasa.

Sababu ni ya kipuuzi sana, haina mashiko kabisa yaaan eti kisa kanipigia cm saa tano ucku anasema nikitua Dar nakuja kukuchua twende nyumbani nikamwambia nina Assignment Kama tatu hivi na moja ni research proposal kwaiyo nakuomba nivumilie nitakuja kesho jioni. Povu likaanza kumwagika oooh hunipendi unaniavoid umebadilika sana kama vipi nikupe space maana unanidharau sana now days, baada ya kusoma magazeti yake nikawa natetemeka kwa hasira, yaaan naandika text nafuta naandika tena nafuta mpaka nilijihisi nimedata.

Nilichokifanya nilisubiria amalizie magezi yake alafu nikajibu text moja tu kama ifuatavyo 17.11.2021 alafu nikatulia. Akaanza kunipigia cm unstoppable, meseji Kama zote, mara oooh yaaan “ndio umeamua tuachane kweli? “ i still love you plz dont do this...kimoyomoyo nikasema what the fu**ck yaaan unanifanya kama mjinga kwamba muda wote ukijiskia kuniacha unafanya hivyo maana unajua nitakubembeleza turudiane nikasema hapana imetosha.

Kweli bwana leo siku ya pili natumiwa magazeti kama yote kwa ajili ya text moja tu ya tarehe na nimeshaamua nakaza hii wiki nzima nikishindwa kumove on nitarudi ila nikiweza basi imetoka hiyo. Imagine umeacha upuuzi wote kwakua unamuheshim mpenzi wako lkn haisadii kitu, ni stress mwanzo mwisho mpaka nikahisi au huyu kuna vitu vibaya anafanya kwaiyo anahisi na mm nikama yeye au hizi insecurities zimezidi kiwango? Huwezi amini naumia kinoma ila najikaza tu maana ukiwa ulishamzoea mtu ni ngumu sana kuishi mbali naye lakini hamna namna.Nipeni pole wakuu maana nahisi Huyu mwanaume hanifai kwa ajili ya future life, wivu ukizidi unaboa sana aisee.

NB wanaume vibonge mjiamini jamani sisi tunawapenda hivyo hivyo maana mnaroho nzuri sana, na mnajua kupenda,hawa walamba lips hamna kitu ni show off tu, kwa hivyo mkipendwa mshikamane muache mahangaiko na mawivu yasiyo na kichwa wala miguuu. Niwatakie kila la kheri wanafamilia wa JF katika ujenzi wa Taifa letu.
Jamaa ,anapiga ngapi?
 
Jamaa Yuko sawa
Hao masharobaro unsopiga nao picha ipo siku watakupiga "mbupu" tuu trust me

Halafu hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke eti mnataniana "utachezea mkuyenge" ohoo!

Ukishampoteza mwamba Rudi kwa masharobaro wako halafu ulete mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ila ukweli mchungu unaenda kupoteza mwanaume anayekupenda kwa sababu ya kuendekeza usister duu, kwani huwezi kuishi bila picha na hao masharobaro? Huwezi kuacha nyendo za mashaka kama kuchat na wanaume? So you are going to be a single mama.

Hakika mkuu umeongea point nilikuwa na shidwa ni comment vip lakini ww umemaliza kila kitu
Nadhani ushaur wako hato uelewa lakini kama ana akili ya maisha atajifunza
 
Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya maji ili kuepukana na hili janga la ukame,in Chief Hangaya’s voice.

Niende moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe sana, naandika nikiwa nimenyong’onyea sana ila najikaza tu kwa sababu maisha lazima yaendelee ila kimsingi ni kwamba mahusiano yangu yamefikia tamati na hii haina budi kutokea sababu mambo yamekua mengi kiasi kwamba unaona haina tena haja ya kuigiza upo na furaha kumbe kiuhalisia sio kweli.

I was dating a guy, siwezi kusema handsome guy nitakua nadanganya kwa sababu mimi sipendi wanaume wenye muonekano mzuri saana, yaani hicho sio kipaumbele kwangu kabisa. Basi bwana mahusiano yalianza mwaka mmoja uliyopita na tulikutana kule mjini Instagram.

Kama utani mambo ya DM haya mtoto wa kike nikaingia kingi baada ya kupigwa saundi za kufa mtu nikaona isiwe shida ukizingatia nilikua single kwa muda kidogo. Basi bwana baada ya kuwa na urafiki na huyu jamaa kwa muda wa kama mwaka hivi hatimaye nikakubali DM yake na tukaanza kuhamia WhatsApp, tukakubaliana kuonana na kweli tukaonana na tukaanza kujenga Chemitry na hatimaye tukaanza kuwa wapenzi.

Nachelea kusema mwanzo sikumpenda sana jamaa yaani nilikua nachukulia kawaida mno lakini kadri siku zilivyokwenda nilijikuta nampenda kwa sababu alinionyesha upendo wa hali ya juu, here am not talking about money no, just ile caring yake yaani he was there for me.

Asikwambie mtu huyu ndiye alikua mwanaume wa kwanza mnene kudate naye, nilikua sijawahi kabisa kudate mtu mwenye mwili wa kijayanti lakini kusema kweli nimegundua wanaume wanene warefu wenye muonekano wa kawaida wanajua kupenda nyie . Jamaa anampunga kiasi maana ni rubani katika shirika fulani la ndege hapa nchini lakini kwangu mm hiyo haikua issue sana kwangu kilichonivutia kwakwe ni kwamba ananipenda sana na yuko romantic kinoma.

Shida sasa ni kwamba ana wivu ule ambao haupimiki, yaaani nikisema mtu ambaye ana wivu alafu very insecure sijui kama mnanielewa? Kwanza alianza kufatilia sana cm yangu anasoma text na kuangalia call logs kila tunapoonana, ole wako sasa apige cm yako inatumika hiyo kesi sio ya nchi hii.

Kwakua nilishaanza kumpenda nikaona acha nimvumilie na kuanza kumuelewesha taratibu kwa kua kila mtu ana namna yake ya kupenda nikaona sio tatizo kubwa, lakini kabla ya hapo kuna siku alishika cm yangu kwa mara ya kwanza tangia tumeanza mahusiano so akakutana na text za nyuma nachat marafiki wa kiume tunaitana baby lkn sio wapenzi siunajua ile kichuochuo yaan kama utani tu weeee basi akanichukulia kama mdada mwenye mambo mengi kumbe wala ni ile kutaniana tu ukizingatia nilikua singo.

Basi bwana maisha yakaendelea akaanza ku block watu kwenye cm yangu, yaaan tukionana baada ya salamu tu anakagua cm nilikua sipendi kwa sababu hamna kitu kibaya nafanya kwaiyo nikawa najiuliza huyu kwa nn haniamini kiasi hiki? Mm mbona nimejifunza kumuamini na wala simu yake siigusi? Basi nikawa naanza kukosa furaha kidogo kidogo lakini napotezea kwa sababu nampenda. Kuna siku aligonga gari kwa nyuma kwa sababu ya kugombania simu ikawa kesi akamlipa mwenye IST yake laki mbili ya kunyoosha bampa nikasema huyu kaka sio mzima Wallah.

Nikiri kwamba kimuonekano mm na yy ni sawa na mbingu na ardhi ndio maana anakuwa very insecure lakini nilijitahidi kumuonyesha upendo wa hali ya juu cz kuna vitu amazing ambayo yupo navyo na sio rahisi kuvijua kama hauna ukaribu naye.

Siku za nyuma tukigombana namwambia tuachane na sijali basi huwa ananibembeleza tunarudiana alivyofanikiwa kuteka hisia zangu sikuwahi hata sikumoja kumtamkia neno kuachana sababu mm kama nikimpenda mtu basi kumuacha ni ngum sana kwaiyo sitaki kuropoka kitu ambacho naona kitaniumiza na siko tayari kubreakup.

Basi kama miezi mitatu iliyopita nimeshaachwa kama mara tano hivi, tukikosana kidogo utaskia huniheshimu kama vipi tuachane, mtoto wa watu naomba msamaha yanaisha. Kuna kipindi nilikua field Kwenye moja ya media kubwa hapa nchini weee hapo ndio tulikua tunagombana almost everyday. Siku hiyo akanambia tuachane maana huniheshim unapiga picha na wakaka, mara kwa nn mnawasiliana yaaan hata kama ni mambo ya kazini, nikasema huu sasa ni upuuzi nikamwambia poa tuachane, siku haijaisha anaanza kuteseka yy na mm najishusha yanaisha.

Sasa jana tarehe 17.11.2021 nimeona isiweshida, bora haya mahusiano yafikie mwisho. Mpaka mtu anakwambia tuachane kila mki mess up basi huyo atakua anamaanisha anachokiongea nikasema leo afe kipa afe beki tunaachana kweli na haijalishi nampenda kiasi gani bora nife nimechoka sasa.

Sababu ni ya kipuuzi sana, haina mashiko kabisa yaaan eti kisa kanipigia cm saa tano ucku anasema nikitua Dar nakuja kukuchua twende nyumbani nikamwambia nina Assignment Kama tatu hivi na moja ni research proposal kwaiyo nakuomba nivumilie nitakuja kesho jioni. Povu likaanza kumwagika oooh hunipendi unaniavoid umebadilika sana kama vipi nikupe space maana unanidharau sana now days, baada ya kusoma magazeti yake nikawa natetemeka kwa hasira, yaaan naandika text nafuta naandika tena nafuta mpaka nilijihisi nimedata.

Nilichokifanya nilisubiria amalizie magezi yake alafu nikajibu text moja tu kama ifuatavyo 17.11.2021 alafu nikatulia. Akaanza kunipigia cm unstoppable, meseji Kama zote, mara oooh yaaan “ndio umeamua tuachane kweli? “ i still love you plz dont do this...kimoyomoyo nikasema what the fu**ck yaaan unanifanya kama mjinga kwamba muda wote ukijiskia kuniacha unafanya hivyo maana unajua nitakubembeleza turudiane nikasema hapana imetosha.

Kweli bwana leo siku ya pili natumiwa magazeti kama yote kwa ajili ya text moja tu ya tarehe na nimeshaamua nakaza hii wiki nzima nikishindwa kumove on nitarudi ila nikiweza basi imetoka hiyo. Imagine umeacha upuuzi wote kwakua unamuheshim mpenzi wako lkn haisadii kitu, ni stress mwanzo mwisho mpaka nikahisi au huyu kuna vitu vibaya anafanya kwaiyo anahisi na mm nikama yeye au hizi insecurities zimezidi kiwango? Huwezi amini naumia kinoma ila najikaza tu maana ukiwa ulishamzoea mtu ni ngumu sana kuishi mbali naye lakini hamna namna.Nipeni pole wakuu maana nahisi Huyu mwanaume hanifai kwa ajili ya future life, wivu ukizidi unaboa sana aisee.

NB wanaume vibonge mjiamini jamani sisi tunawapenda hivyo hivyo maana mnaroho nzuri sana, na mnajua kupenda,hawa walamba lips hamna kitu ni show off tu, kwa hivyo mkipendwa mshikamane muache mahangaiko na mawivu yasiyo na kichwa wala miguuu. Niwatakie kila la kheri wanafamilia wa JF katika ujenzi wa Taifa letu.
Kwa hiyo umeona uje untangaze huku?

Nisamehe basi Bby....
 
Back
Top Bottom