Wanaukumbi,
Sifa Kuu mbili za mnyama Tumbili:
Tumbili ni mnyama anayejifanya mwerevu sana kuliko wanyama wengine wote mule msituni. Sifa kuu za Tumbili ni mbili tu
1. Uvivu - mnyama huyu hajishughulishi kabisa kutafuta kazi ya kujipatia riski yake msituni, kazi yake ni kupiga soga akisubiri wenzake wapike ale.
2. Wizi - Mnyama huyu kwa sababu ya uvivu wake hapo juu , njaa ikimpata basi huvizia mashambani ya watu na kuanza kuiba vyakula.
Tukirudi kwenye hili sakata letu la Tageta ESCROW, kuna watu walifikia pahala wakapeana sifa za mnyama huyu, wengi wetu hatukupenda kabisa watu wazima kufikia hatua ile, tuliamua kukaa kimya ili hoja zichambuliwe na hatimaye tujue nani hasa mwenye sifa nadra za kuwa kama mnyama huyu anayefijanya mjanja kumbe kichwani hamnazo.
Sasa kwa kauli moja tumeshamjua ni yupi mweye sifa za mnyama huyu kati ya wale waheshimiwa wawili.
HOJA: Ukweli una tabia ya kucheleweshwa tu, lakini lazima ujulikane tena mchana kweupee peee!!!