Bakari Mohamedi
Member
- Aug 30, 2014
- 67
- 17
Huu ni ujinga, upuuzi, na uzandiki, yaani pinda apone katika hili? kivipi? tulimvumilia katika operation Tokomeza tukawatoa kafara baadhi ya mawaziri, hili nalo tumuache hakuna, hakuna, haiwezekani, Pinda must Resigns.
Wewe kwa maono yako.. pole utang'aka sana. Still u cant see pinda resign
