Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

Hivi mtu kama huyu bado watu wanaota kumpa madaraka makubwa ya urais?
 
sasa wewe ndo mwehu wa kupindukia. Unamsifia makinda kwamba anatetea mafisadi unasema anasimamia maslahi ya nchi. hata kama Lowasa ni muovu hili la escrow halina mjadala. wamegawana hela kama za urithi wa babu yao unaleta propagana za kishenzi humu. kawaongopee wajinga.


Mkuu mbona umekurupuka utafikiri ulikuwa unaoteshwa,tulia kama unanyolewa wenye masikio na wasikie
 
Naona mafisadi wanahaha baada ya mipango yao ya kuihujumu serikali kuvuja,mwisho wa mafisadi umefika
 
Escrownization+ Escrownization! = money! Bring back the money! !!
 
Kumbe ni Magamba kwa Magamba, haina shida acha wafu wazike wafu wenzao
 
yani katika mwaka huu hii nyuzi kwangu ndiyo ya kipuuzi kuliko zote.Lowasa akapange jinsi ya kumuondoa Pm na Ndugai?wgo is Ndugai?.......Queen P......huna jipya
 
Mh Lowassa ni msomi aliebobea, mwenye shahada ya usanii, yaani ni pure arts..na hasa usanii wa jukwaani including kucheza ngoma, mazingaombe...yaani all sorts of ablakadabla😔😳😳
 
Kwani wewe unataka aondoke kwa sababu tu LOWASSA anataka hivyo?

Sijasema lolote kuhusu Lowasa,
Pinda atembee kwa sababu alijua kila kitu, asituletee lia lia hapa. Hata hivo Lowasa mbona alitembea?

Inshort, siihtaji CCM kabisa tushachoka na huu upuuuzi. Anakumbatia nini? kwenda zake
 
Kwahiyo kuzimwa kwa jambo hili bungeni ndo Pinda atapata uraisi siyo, hivi nyie mmesahau kile kisa cha KARAMAGI na cha Richmond vilisababisha ccm ishuke na wakati ule watu walikuwa hawana uwelewa kama sasa. Fanyeni vyovyote mfanyavyo ila anguko kuu la magambala laja soon.
 
Mtahangaika sana mwaka huu kila kona lowasa lowasa,bao mmeshapigwa tafuteni wimbo mwingine,jamaa ni mbunge wa kawaida na ni raia wa kawaida hana uwezo wa kufanya any loobing mbona mnamchokonoa na kwa taarifa yenu hataongea kitu ameamua kuwa bubu,mkichoka mje mwakani mtamkuta state hause atafunguka vizuri

Acha kutetea mafisadi mkuu
 
Back
Top Bottom