Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

Huyo lowassa aliwaambia mgawane hela Ili yeye awe raisi WA nchi hii. Msituchanganye hapa hayatuhusu mambo ya magamba Ni ya kwenu huko. Tunachotaka fedha irudi mpelekqe mahakamani. Unaleta hoja za kitoto hapa.
 
haya Queen japo habari yako Ina chumvi nyingi

Michepuko ina mbwembwe sana!! Mleta mada ni mchepuko wa Pinda. Swali la kujiuliza, je hela imepotea au la!? Sasa huyu mleta mada anaandika nini cha kipuuzi namna hii?? Inakuaje hili swala linaonekana kana kwamba sio kweli na watu wamezushiwa??? Mleta mada ni mpuuzi tu na ni wa kupuuza tu!!!!
 
Hatuhitaji siasa hapa kama hatarudisha fedha zetu basi uamuzi mwingine unapaswa kufuatwa ila hakuna siri hapa waungwana wanasema "VITA VYA PANZZI FURAHA YA KUNGURU"& WAPIGANAPO FARASI ZIUMIAZO NYASI..........."
BRING BACK OUR MONIES....
 
Lowassa kamwe hawezi shiriki upuuzi kama huu ili afaidi nn kama angekuwa ametoa hizo pesa bilion 321 mfukoni kwake tungesema kwakuwa walioziiba pesa tuna wajua tunachotajaka ni pesa tu.
 
Hivi wakuu kama huyu sio waziri AMA mbunge DODOMA alifuata nini, usilalamike kwa uongo hapa kwani watanzania wa sasa sio wa miaka 70's hatuhitaji propaganda bali hoja pekee..
 
Wanataka kumchafua Pinda, mtu ambae aliaminiwa na mwalimu Nyerere tangu alipomaliza chuo kikuu. Mtu muadilifu ambae hakurupuki katika kufanya maamuzi. Mtu ambaye ameonekana kuwapiku katika mbio za urais. Hili halikubaliki. Kila mtu abebe mzigo wake wa uchafu

Yeye hakurupuki kama wewe unavyokurupuka!!???
 
huko ni sawa na kumtumikia mpz ambaye habebeki, acha wagumu wachange karata zao
 
huu ni uongo ambao hauendani na hata chembe ya ukweli, Pinda lazima ang'oke, acheni kumpakazia Mzee Lowassa upuuzi wenu...
 
Tunasubiri tamko la bunge,sio udaku wa magazeti lkn kwa uchache,Mhe.Lowassa hawezi kufanya haya ila hapa kuna ulakini wa wachache wenye wivu wa madaraka...
 
Habari hii imezidisha chumvi na hivyo imeharibu ladha yake kabisaaa
 
Lol hakuna uongo usio na mwisho,kwani naamini mtoa mada katumwa ila ok,nadhani hatarudia tena kutuletea udaku NDANI ya JAMII FORUM..
 
Heshima kwenu wakuu.

Nikiwa natokea Dar es salaam kuelekea Dodoma jana mchana, tayari kwa kufuatilia mjadala wa bunge juuya Ripoti ya CAG kuhusu account ya ESCROW inayotarajiwa kusomwa siku ya jumatano, kuna taarifa nilizipata kutoka kwa moja ya washauri wakubwa wa Edward Lowassa ambaye nilibahatika kupanda naye gari moja (kwa sababu za kiusalama naomba nisitaje jina lake). Inasemekana kuwa Edward Lowassa na kambi yake wamegundua kuwa mipango yake ya kutaka kutumia Ripoti ya IPTL kuiangusha Serikali na hasa kumuhusisha Waziri Mkuu kwenye kashfa hili Imegonga mwamba baada ya kibaraka wake Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai kuondolelewa katika kuongoza vikao vya Bunge na kupewa likizo ya muda wa siku 14 nchini Ufaransa. Taarifa zinasema kuwa baada ya maamuzi hayo Lowassa amekuwa kwenye wakati mgumu sana kwani hiyo ndiyo ilikuwa Karata yake ya Mwisho katika kujitengenezea njia ya Urais mwakani 2015.

Kambi ya Lowassa inaamini kuwa uwepo wa Spika Anne Makinda ni pigo kubwa kwake kwani Spika huyo amekuwa imara mara zote anapoendesha vikao vinavyojadili mambo mazito yanayogusa maslahi ya Taifa bungeni na haingiliki kirahisi tofauti na Job Ndugai ambaye wazi ameonyesha mahaba yake kwa Lowassa kwa kuahidiwa Uspika pindi Lowassa atakapokuwa Rais.

Tayari kuna taarifa kuwa mwanamkakati mkubwa na Master Mind wa Safari ya Matumaini ya Lowassa, Mtemi Andrew Chenge ametajwa kuhusika kwenye kufanikisha dili la IPTL wakati akiwa Mwanashria Mkuu wa Serikali. Hili linathibitishwa na Chenge mwenyewe ambaye amekiri kupokea zaidi ya Bilioni Moja na nusu kama Consultancy fee. Hali hii imepelekea kambi ya Lowassa kuandaa mikakati mizito ya kumnasua Chenge katika sakata hili. Tayari hadi muda huu takribani bilioni 4.5 imetumika kwa ajili ya kushawishi wabunge wa CCM na upinzani kushinikiza Pinda ajiuzuru kwa kashfa hii.

Kufuatia kuondolewa kwa Ndugai kuendesha vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma na kuelekea Ufaransa, tayari Waziri Mkuu alijiuzuru kwa kashfa ya Ufisadi ya Richmond jana alifanya safari ya ghafla nje ya nchi kuelekea Ujerumani lakini taarifa za ndani zinasema, Lowassa haendi Ujerumani anaenda Ufaransa kufanya kikao na Job Ndugai kuona ni kwa namna gani wanaweza kufanikisha Waziri Mkuu anadondoka na kashfa hii.

Hali ni tete hadi muda huu Mjini Dodoma wabunge wanaonekana kujipanga makundi huku kundi linalompigia Chapuo Lowassa wakiwa na hofu kubwa kuwa mkakati wao umevuja na wamegonga mwamba wakati wabunge wengi wa CCM wameonyesha kuchoshwa kwa kuyumbishwa na wasaka Urais wenye tuhuma za ufisadi na wafanya biashara walionyimwa vitalu na wabunge wengi wamejipanga kesho kutema nyongo na kusema ukweli kuhusu IPTL.

Wakuu naomba niwasilishe kwenu, nahidi kuwaletea yote yatakayojiri Dodoma Kesho. Ahsanteni

Hapo penye nyekundu ndo panaleta UKAKASI! Yaani leo Bi. Kiroboto ndo mtu ambaye hayumbishwi! Huyo mama ni mpuuzi sana tena zaidi ya mpuuzi! simtofautishi na akina dada wa Kona bar.
 
Next time unatakiwa kuweka utangulizi kwenye post zako, ziite ''Riwaya", pia nakushauri uwe serious kidogo na mambo ambayo yanagusa maslahi na mustakabali wa Taifa letu. Upumbavu ni kipaji
 
Huu mud a uliotumia kuandika hii ngonjera yako afadhali ungeangalia hata move ya Mr bin Mkuu
 
heshima kwenu wakuu.

Nikiwa natokea dar es salaam kuelekea dodoma jana mchana, tayari kwa kufuatilia mjadala wa bunge juuya ripoti ya cag kuhusu account ya escrow inayotarajiwa kusomwa siku ya jumatano, kuna taarifa nilizipata kutoka kwa moja ya washauri wakubwa wa edward lowassa ambaye nilibahatika kupanda naye gari moja (kwa sababu za kiusalama naomba nisitaje jina lake). Inasemekana kuwa edward lowassa na kambi yake wamegundua kuwa mipango yake ya kutaka kutumia ripoti ya iptl kuiangusha serikali na hasa kumuhusisha waziri mkuu kwenye kashfa hili imegonga mwamba baada ya kibaraka wake naibu spika wa bunge job ndugai kuondolelewa katika kuongoza vikao vya bunge na kupewa likizo ya muda wa siku 14 nchini ufaransa. Taarifa zinasema kuwa baada ya maamuzi hayo lowassa amekuwa kwenye wakati mgumu sana kwani hiyo ndiyo ilikuwa karata yake ya mwisho katika kujitengenezea njia ya urais mwakani 2015.

Kambi ya lowassa inaamini kuwa uwepo wa spika anne makinda ni pigo kubwa kwake kwani spika huyo amekuwa imara mara zote anapoendesha vikao vinavyojadili mambo mazito yanayogusa maslahi ya taifa bungeni na haingiliki kirahisi tofauti na job ndugai ambaye wazi ameonyesha mahaba yake kwa lowassa kwa kuahidiwa uspika pindi lowassa atakapokuwa rais.

Tayari kuna taarifa kuwa mwanamkakati mkubwa na master mind wa safari ya matumaini ya lowassa, mtemi andrew chenge ametajwa kuhusika kwenye kufanikisha dili la iptl wakati akiwa mwanashria mkuu wa serikali. Hili linathibitishwa na chenge mwenyewe ambaye amekiri kupokea zaidi ya bilioni moja na nusu kama consultancy fee. Hali hii imepelekea kambi ya lowassa kuandaa mikakati mizito ya kumnasua chenge katika sakata hili. Tayari hadi muda huu takribani bilioni 4.5 imetumika kwa ajili ya kushawishi wabunge wa ccm na upinzani kushinikiza pinda ajiuzuru kwa kashfa hii.

Kufuatia kuondolewa kwa ndugai kuendesha vikao vya bunge vinavyoendelea dodoma na kuelekea ufaransa, tayari waziri mkuu alijiuzuru kwa kashfa ya ufisadi ya richmond jana alifanya safari ya ghafla nje ya nchi kuelekea ujerumani lakini taarifa za ndani zinasema, lowassa haendi ujerumani anaenda ufaransa kufanya kikao na job ndugai kuona ni kwa namna gani wanaweza kufanikisha waziri mkuu anadondoka na kashfa hii.

Hali ni tete hadi muda huu mjini dodoma wabunge wanaonekana kujipanga makundi huku kundi linalompigia chapuo lowassa wakiwa na hofu kubwa kuwa mkakati wao umevuja na wamegonga mwamba wakati wabunge wengi wa ccm wameonyesha kuchoshwa kwa kuyumbishwa na wasaka urais wenye tuhuma za ufisadi na wafanya biashara walionyimwa vitalu na wabunge wengi wamejipanga kesho kutema nyongo na kusema ukweli kuhusu iptl.

Wakuu naomba niwasilishe kwenu, nahidi kuwaletea yote yatakayojiri dodoma kesho. Ahsanteni

dhambi ya mwongo husafishwa na ukweli

sikujui hunijui

cya tomorrow
 
Heshima kwenu wakuu.

Nikiwa natokea Dar es salaam kuelekea Dodoma jana mchana, tayari kwa kufuatilia mjadala wa bunge juuya Ripoti ya CAG kuhusu account ya ESCROW inayotarajiwa kusomwa siku ya jumatano, kuna taarifa nilizipata kutoka kwa moja ya washauri wakubwa wa Edward Lowassa ambaye nilibahatika kupanda naye gari moja (kwa sababu za kiusalama naomba nisitaje jina lake). Inasemekana kuwa Edward Lowassa na kambi yake wamegundua kuwa mipango yake ya kutaka kutumia Ripoti ya IPTL kuiangusha Serikali na hasa kumuhusisha Waziri Mkuu kwenye kashfa hili Imegonga mwamba baada ya kibaraka wake Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai kuondolelewa katika kuongoza vikao vya Bunge na kupewa likizo ya muda wa siku 14 nchini Ufaransa. Taarifa zinasema kuwa baada ya maamuzi hayo Lowassa amekuwa kwenye wakati mgumu sana kwani hiyo ndiyo ilikuwa Karata yake ya Mwisho katika kujitengenezea njia ya Urais mwakani 2015.

Kambi ya Lowassa inaamini kuwa uwepo wa Spika Anne Makinda ni pigo kubwa kwake kwani Spika huyo amekuwa imara mara zote anapoendesha vikao vinavyojadili mambo mazito yanayogusa maslahi ya Taifa bungeni na haingiliki kirahisi tofauti na Job Ndugai ambaye wazi ameonyesha mahaba yake kwa Lowassa kwa kuahidiwa Uspika pindi Lowassa atakapokuwa Rais.

Tayari kuna taarifa kuwa mwanamkakati mkubwa na Master Mind wa Safari ya Matumaini ya Lowassa, Mtemi Andrew Chenge ametajwa kuhusika kwenye kufanikisha dili la IPTL wakati akiwa Mwanashria Mkuu wa Serikali. Hili linathibitishwa na Chenge mwenyewe ambaye amekiri kupokea zaidi ya Bilioni Moja na nusu kama Consultancy fee. Hali hii imepelekea kambi ya Lowassa kuandaa mikakati mizito ya kumnasua Chenge katika sakata hili. Tayari hadi muda huu takribani bilioni 4.5 imetumika kwa ajili ya kushawishi wabunge wa CCM na upinzani kushinikiza Pinda ajiuzuru kwa kashfa hii.

Kufuatia kuondolewa kwa Ndugai kuendesha vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma na kuelekea Ufaransa, tayari Waziri Mkuu alijiuzuru kwa kashfa ya Ufisadi ya Richmond jana alifanya safari ya ghafla nje ya nchi kuelekea Ujerumani lakini taarifa za ndani zinasema, Lowassa haendi Ujerumani anaenda Ufaransa kufanya kikao na Job Ndugai kuona ni kwa namna gani wanaweza kufanikisha Waziri Mkuu anadondoka na kashfa hii.

Hali ni tete hadi muda huu Mjini Dodoma wabunge wanaonekana kujipanga makundi huku kundi linalompigia Chapuo Lowassa wakiwa na hofu kubwa kuwa mkakati wao umevuja na wamegonga mwamba wakati wabunge wengi wa CCM wameonyesha kuchoshwa kwa kuyumbishwa na wasaka Urais wenye tuhuma za ufisadi na wafanya biashara walionyimwa vitalu na wabunge wengi wamejipanga kesho kutema nyongo na kusema ukweli kuhusu IPTL.

Wakuu naomba niwasilishe kwenu, nahidi kuwaletea yote yatakayojiri Dodoma Kesho. Ahsanteni

This is another piece of cr@p

Ukisoma hii habari na zile zinazojaribu kumchafua Pinda au Membe... au hata mbowe ni speculative tu

very low of waandishi uchwara, wacha mbivu ziwe mbivu na mbichi ziwe mbichi

If i was a moderator, ningeweka thread moja iwe inakusanya haya makandokando na ningeiita Political trash talk
 
Huyu jamaa aliandika uzi nimeona anampamba anne makinda na kumkandia Ndugai,lakini pia, anamsfia pinda kwa mbali na kumkandia lowasa,...

Mim staki kujua yupi mwema kati ya hao wote,
Bali nataka watanzania kwa ujumla wetu tuungane tupambane na uozo huu unaoendelea w kuiba hela kisha kujiuzuru,kujiuzuru kwangu si adhabu mshususi bali wafirisiwe kabiss
 
Back
Top Bottom