yani katika mwaka huu hii nyuzi kwangu ndiyo ya kipuuzi kuliko zote.Lowasa akapange jinsi ya kumuondoa Pm na Ndugai?wgo is Ndugai?.......Queen P......huna jipya
Mh Lowassa ni msomi aliebobea, mwenye shahada ya usanii, yaani ni pure arts..na hasa usanii wa jukwaani including kucheza ngoma, mazingaombe...yaani all sorts of ablakadabla
Naomba akirudi apande ndege ya Malaysia na ifanye kama zile.mbili.. huyu mzee anazeeka vibaya. Aliwapinza Ccm wakakosa jimbo la Arumeru kipindi flani kwa kutumia ubabe wa pesa kufanya anaotaka sasa amedhamiria kuvunja serikali ila kwa hili broo lowasa umedoda. Msalimie ndugai huko ufaransa mwambie Makinda anataka kubadili upepo ili akuzidi kete. Shuwain zako.
Haponi mtu hapo na hapo ndipoLowasa anapopitia kuwa raisi wa hii nchi.tunamuhitaji sana.tulitukanwa sana,tulizalilishwa sana na tutafurahi pamoja
We ulitaka aweke audia hapa ikiwa na picha na jina Lowasa aseme??? sisi tunayaona anayasema wewe hujayaona kua mpole anasema sana na tunajua mengi na hila zake.
hakuna anayemchafua Lowassa, alishajichafua mwenyewe tangu miaka hiyo. Kinachofanyika hapa ni kuuleza umma ukweli kuwa hiyo ndiyo rangi yake halisi na sio kumchafua.
Dada Queen pia ahsante kwa kutuhabarisha. Mwenye macho haambiwi tazama
uzinzi wa mawazo huu