Hatimaye sayansi yagonga mwamba...!

Hatimaye sayansi yagonga mwamba...!

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Kutokana na kupotea kwa ndege ya malaysia airline iliyopotea tangu mwishoni mwa wiki iliyopita,serikali ya malaysia imeamua kutumia waganga wa kienyeji kusaidia kutafuta ndege hio.

source radio free Afrika
 
Hata technology nayo imeshindwa, so ni sare mpaka sasa

Technology haijashindwa kwasababu ni kitu dynamic

Tatizo ni kuwa inachukua muda mrefu kupata hiyo ndege than expected
 
Kuna mtu mwenye akili timamu kweli anaweza amini nazi inaweza rudisha ndege ilhali technology ya mtu mweupe imeshindwa!! Cha ajabu zaidi yule mganga anaamini ndege bado ipo angani. Hawa waganga na TB Joshua wote lao moja hawana lolote; na ndege kupotea bila mafanikio ya kuipata tena inawezekana maana ishawahi tokea mara kadhaa
 
Ni ndege gani tena iliwahi potea? Maana air france ilianguka ila haikujulika ilipoangukia ndo maana ilichukua mda kuipata, sasa hii imepotea? Je nyingine ipi mkuu tujikumbushe?
 
Kuna mtu mwenye akili timamu kweli anaweza amini nazi inaweza rudisha ndege ilhali technology ya mtu mweupe imeshindwa!! Cha ajabu zaidi yule mganga anaamini ndege bado ipo angani. Hawa waganga na TB Joshua wote lao moja hawana lolote; na ndege kupotea bila mafanikio ya kuipata tena inawezekana maana ishawahi tokea mara kadhaa

Kumbe hii sio ya kwanza..
 
Wakitaka kuiona wajisalimishe kwa mkuu wa freemansons atawaambia alikoificha.
 
Kutokana na kupotea kwa ndege ya malaysia airline iliyopotea tangu mwishoni mwa wiki iliyopita,serikali ya malaysia imeamua kutumia waganga wa kienyeji kusaidia kutafuta ndege hio.

source radio free Afrika

Kwa bahati mbaya Malaysia hakuna waganga wa kienyeji!
 
Wakitaka kuiona wajisalimishe kwa mkuu wa freemansons atawaambia alikoificha.

Mkuu wa freemasons ni nani? Yuko wapi? Ndio kapoteza ndege? Ni ujinga kuamini propaganda za freemasons/Illuminati
 
Niliwahi kusikia kwamba kuna usawa wa juu zaidi ndege haziendi kutokana na mvutano uliopo kati ya juu na chini, mvutano ukizidi juu unavutwa juu na ndio basi, je hili linaweza likawa limetokea kwa hii ndege?
 
Mkuu wa freemasons ni nani? Yuko wapi? Ndio kapoteza ndege? Ni ujinga kuamini propaganda za freemasons/Illuminati

Endelea kuamini imani yako na mm niamin ninavoamini ipo siku utakuja jua kuwa haya mambo yapo na ni mikakati mahususi amabayo inafanywa na watu usio wadhani kwa lengo maalum.
 
Let's assume hao freemasons do exist; ndio wamepoteza ndege? Nashindwa elewa wameingiaje hapa
 
Mbali na Air France Flight 447(Airbus A330 jet),zilizowahi kupotea ni: -Adam Air(Boeing 737) iliyokuwa operated na Indonesian Airline.Ilipotea Jan 1,2007.Mabaki yalionekana baada ya siku kadhaa,watu wote 102 waliokuwemo walikufa.
-Merpati Nusantara(1995),ilipotea na haikupatikana tena.
-Faucett Airlines(1990)
-Uruguay Air Force(1972)
-Flying Tiger Line(1962)-Lockheed L-1049H Super Constellation.
Hizo ni baadhi tu.
 
Back
Top Bottom