Hatimaye sayansi yagonga mwamba...!

Hatimaye sayansi yagonga mwamba...!

Kutokana na kupotea kwa ndege ya malaysia airline iliyopotea tangu mwishoni mwa wiki iliyopita,serikali ya malaysia imeamua kutumia waganga wa kienyeji kusaidia kutafuta ndege hio.


source radio free Afrika

The ONLY and SOLE answer is JESUS CHRIST. Period.

If truly they want to know where is the plane, just call Jesus,
 
Ni mbaya kuelezea jambo ulilolisikia kwenye ushabiki wa watu ambao hawalijui lakini hushabikia kwa bidii. Kama hili la freemasonry, huyo anayesema mkuu wa freemason. Kwanza anaonyesha hajui lolote kuhusiana na vyama vya kisiri vilivyopo na mambo vinavyofanya.
 
kwakwel mi nimezoea kusikia pesa imepotea, gar limeibiwa, ndege au meli kutekwa. sasa hii ya kupotea kwa ndege duh nimpya kwangu, nazan tunapoendea tutasikia hata kupotea kwa nyumba ya fulan
 
Mbali na Air France Flight 447(Airbus A330 jet),zilizowahi kupotea ni: -Adam Air(Boeing 737) iliyokuwa operated na Indonesian Airline.Ilipotea Jan 1,2007.Mabaki yalionekana baada ya siku kadhaa,watu wote 102 waliokuwemo walikufa.
-Merpati Nusantara(1995),ilipotea na haikupatikana tena.
-Faucett Airlines(1990)
-Uruguay Air Force(1972)
-Flying Tiger Line(1962)-Lockheed L-1049H Super Constellation.
Hizo ni baadhi tu.

Nakumbuka Uruguay air force ilihuzunisha sana kwani walikuwa ni wacheza rugby 45 ambao waliopona wlikuwa 16 tu waliishi kwa kula maiti za wenzao so sad
 
Back
Top Bottom