Hatimaye Precision Air yashusha bei, DAR - KIA 199,000 VAT Inclusive.

Hatimaye Precision Air yashusha bei, DAR - KIA 199,000 VAT Inclusive.

wakitokea na wengine kama wawili hivi wenye nauli kama za fast jet yaani maisha yatakuwa safiiii
 
Mi nasubiri AirTanzania nao washushe bei.
 
Walikuwa wapi kushusha bei/nauli siku zote hizo?? Mpaka FastJet kaja ndo wanaanza unafiki wao...

Poleni mliokuwa wateja wa highway, tatizo lenu ni mambulula, hamkutaka kujishughulisha kutafiti ikitokea ulazima wa ku-fly ma-agents wanawaumiza watakavyo. Kwa taarifa yenu nauli ya precision ndiyo hiyo siku zote ni kiasi cha kutembelea website yao na kulipa through mpesa unapasua anga, sisi wengine tulishasahau manyama magumu siku nyingi. Kwa wakazi wa arusha unashukia kisongo unawahi home faster kwa miguu.
 
wakitokea na wengine kama wawili hivi wenye nauli kama za fast jet yaani maisha yatakuwa safiiii

sasa na Bakhresa atafanyaje.....? kaagiza mabasi 300 ujue.....
 
katika kukabiliana na ushindani wa soko la ndege hapa nchini, hatimaye precision air wameshusha nauli zao kwa safari za dar - kia kwenda na kurudi kwa tshs 199,000.00 huku kodi zote zikiwa zimelipwa!!! Hii kwa mtazamo wangu inaweza kupunguza foleni fastjet kwa wale wasiopenda usumbufu.

Tatizo kubwa la fastjet ukichelewa kukata tiketi unaweza kulipa bei kubwa kuliko hata hiyo ya pw.

attachment.php

nawasilisha.

mkuu raula
sikuzote cheapest fare zinamadhara na faida yake kila sehemu
ukienda na kwa hao pw ukaulizia hiyo be watakwambia class closed hiiyo ndio airline
na michezo michafu
hata pale
fast jet ukienda watakwambia imekwisha ukilipia wakakutengenezea ya 32,000 ukaeditiwa kahela chako laki na kumi ikaondoka unaheka watu wanavuna hiyo ndio airline
 
Preta
hayo ya bakheresa atayapeleka zanzibar
 
Hii ni low season,coz watu wamespend sana sikukuu,so ni tabia yao kushusha nauli kila mwaka kwa msimu kama huu.Precision ni kiburi.
 
Lohh, wenzetu mna raha...
Poleni mliokuwa wateja wa highway, tatizo lenu ni mambulula, hamkutaka kujishughulisha kutafiti ikitokea ulazima wa ku-fly ma-agents wanawaumiza watakavyo. Kwa taarifa yenu nauli ya precision ndiyo hiyo siku zote ni kiasi cha kutembelea website yao na kulipa through mpesa unapasua anga, sisi wengine tulishasahau manyama magumu siku nyingi. Kwa wakazi wa arusha unashukia kisongo unawahi home faster kwa miguu.
 
Katika kukabiliana na ushindani wa soko la ndege hapa nchini, hatimaye Precision Air wameshusha nauli zao kwa safari za DAR - KIA kwenda na kurudi kwa Tshs 199,000.00 huku kodi zote zikiwa zimelipwa!!! Hii kwa mtazamo wangu inaweza kupunguza foleni Fastjet kwa wale wasiopenda usumbufu.

Tatizo kubwa la Fastjet ukichelewa kukata tiketi unaweza kulipa bei kubwa kuliko hata hiyo ya PW.

attachment.php

Nawasilisha.

Mbona bado iko juu sana? wambie wahuke sawa au chini ya Fast Jet. Tumechoshwa na kuibiwa
 
Hizo bei za promotion huwa zipo tu ila kwasababu hawa jamaa ni wezi walikuwa hawa reveal.

Majizi haya na imekula kwao - FAST JET HOEEEEEEEEEEEEE
Kwa wanafunzi au watu wanaosubiri hadi likizo Fastjet inawafaa, but kwa watu wenye shuguli nyingi na safari za mara kwa mara when CLIENT amekuhitaji inakula kwako mazima ukiitegemea Fastjet. Juzi kuna jamaa alikuwa anaihirisha safari ya Mwanza Dar wakamwambia aongeze 170,000 kwenye hela aliyolipia mwanzo

Me like Precision very much, juzi niliuanza kwaka kwa kugonga bia 4 za ndani ya ndege, zikibaki hawarudishi wanahakikisha abiria mnazigonga zote kudadeki unafika mjini uko safi. Hakuna hofu ya kutapikiwa maana naskia watu wanatapika kichiz kweny FJ kwa kuwa wengi ndo first time

Pia walitutangazia kuwa wanapiga Dar to Mbeya kwa 149,000= return, wakati Auric walikuwa wanatutandika USD 570 kudadeki. Go PRECISION GOOOOOOO
 
Hongera Dr. Mwakembe. Zidisha kukaribisha , ku-encourage na FUNGUA milango ya ushindani katika sekta hii. Ndo jibu la kupunguza umaskini.

Umetuahidi bei za vyakula zitashuka DSM treni zikianza safari za mikoani - Mwanza na Kigoma. Tunependa ndege nazo zilete matoke DSM kutoka Bukoba. Big up Mh na Raisi wako.
 
Walikuwa wapi kushusha bei/nauli siku zote hizo?? Mpaka FastJet kaja ndo wanaanza unafiki wao...

Wanafiki wakubwa, Kigoma - Dar-Kigoma bei ya chini ni 586,000 kisa FastJet hawapo huku!
Yaani wananikera mpaka basi.
 
Back
Top Bottom