chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Hongera FastJet
Atafanya daladala labda hapa mjini?sasa na Bakhresa atafanyaje.....? kaagiza mabasi 300 ujue.....
Chezea Fastjet!
nasikia wale wengine ( ATC) wamekufa 'kifo cha mende'
hii habari njema......Highway mtatusikia kwenye bomba na manyama yenu magumu........
hii habari njema......Highway mtatusikia kwenye bomba na manyama yenu magumu........
heri ya mwaka mpya sana.....japo nimekununia.....nilitegemea kudive na wewe kule Pangani......
Jiandae mkuu wanakuja mapema sana Feb mwaka huu...mara 4 kwa week!kaa tayari kama wewe ni msafiri wa ndege!
hii habari njema......Highway mtatusikia kwenye bomba na manyama yenu magumu........