Hatimaye Nyanda aachiwa akiwa hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,453
Reaction score
283,788
Baada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai

Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa Nyanda huyu anayevaa Skuna Leo Ana hela za kufadhili vikundi!

Hata hivyo simu zake zinashikiliwa ikiwemo ile ya tochi ya Tecno

Asante Mungu
 
kwahiyo wewe na mamluki wenzako waongo mmeumbuka baada ya uzushi wa muda mrefu sana mliokua mnauhubiri kua muungwana hayupo hai right?
 
Hee kumbe hujui magaidi yanavyofanya yanajifanya maskini kumbe ndio yanashika kibubu.
 
Walamba nyayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…