Hatimaye nitonye nimepata mtoto wa kiume

Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama

Hongera sana kaka, Mungu amjaalie mwanao na mama mtoto afya njema na maisha marefu.
Stay blessed mkwe wangu wa zamani!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana sweetlady amepotea sana!? Hongera sana Mkuu! Mungu amlinde mwanao na Roho wake amwongoze awe mtoto wa mfano!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…