Hatimaye nipo huru

Kwa waangalia filamu kaangalieni filamu inaitwa "Three Thousands Years of Longing" ya 2022, Idris Elba ndani, mtapata kujua zaidi kuhusu Majinni.
Nimeiangalia

Lakini inaelezea kwa uchache sana juu ya jinni mzuri, ambaye alikuwa kifungoni kwa miaka kadhaa tangia wakati wa Suleiman mwana wa Daud, Jinni huyo alikuwa mtumishi wa Malkia wa Sheba, na kupitia vifungo na utumishi kwa binadamu mbalimbali.

Okay

Hao ni sehemu moja ya majini.

Lakini kama nilivyosema awali, majinni wapo wa species nyingi na wenye fani mbalimali.

Mfano Wajapani wanawatumia kwenye fani ya Ninjitsu! nk

Wachina kwenye fani mbalimbali...

Wahindi, Wazungu, Waarabu na hata sisi waafrika.

Kuna kijana hapa Tz ni fundi wa mifumo ya hydraulic na mitambo, huyu jamaa ana rafiki yake Jinni Mwanamke. 'Wameolewa' mitala na jamaa, ilikuwa siri hadi mkewe (binadamu) akajuwa na wanakula maisha...

Sasa huyu fundi wakati wa JPM akiwa Ujenzi, alimtumia sana kutatua changamoto zilizoshindikana kutatuliwa na mafundi wengine, akija yeye anaangalia tatizo kisha anaenda pembeni anawasha 'udi wake', whatsoever kitu kama udi, basi jinni anakuja kumuelekeza exactly tatizo lilipo na suluhisho.

So huo ni mfano wa kuwatumia vizuri hao viumbe, hehehehe na mzigo anakula, da!

Na mimi binafsi nimeshakaa kwa saa kadhaa chumba kimoja na kajini katoto kaitwako Jeni (mara ajiite Jenifer mara Jannet, mara aseme wao ni tofauti...) vyovyote vile iwavyo, lakini huyu hakuwa mzuri kwa huyo mtoto aliyemvaa...

Alikuwa anamzuia asiende shule...

Akienda tu mtoto (10-11yrs old) anaanguka na kupoteza fahamu, akirudishwa nyumbani kwao anakuwa mzima...

Hapa nilishuhudia jinni akiandika kupitia kwa huyo mtoto (mtoto akiwa hajitambui), yaani Sheikh alikiwa anajibizana naye sheikh kwa kusema, jini kwa kuandika... Mimi na baba wa mtoto tukishuhudia...

Hatimaye aliacha alama ya uwepo wake (huyo Jinni) kwenye kiganja cha huyo mtoto kwa kumchora chora kwa mana isiyoelezeka (bila peni wa nini) wakati awali hakuwa hivyo.

Huyu Jeni ni mfano wa majini wabaya!

Kuna wengine wapo kama dragons
, wengine kama magombalima makubwa (bats / popo), wengine kama majoka tu, wapo aina nyingi.
 
JBourn kuna kipindi jamaa mmoja nilisikia alikua ameachwa na mke wake Anaitwa hamida, alichanganyikiwa sana akateka headlines nchi nzima, kutokana na jinsi ulivyo hadithia kisa chako na hamida mawazo yangu yalifikiri itakuwa yule jamaa ndio Wewe, sorry lakini kwa sababu tu sikujua unafananaje
 
Mkuu itakuwa ulisahau kusoma UTANGULIZI kwenye stori...

Niliandika haina uhusiano na stori ya Hamida yule aliye trend mitandaoni kwa kumuacha jamaa...

Hamida wangu bado ninaye mpaka leo tunazeeka pamoja
 
Naam
 
Hii imeisha tayari. Soma kwa tahadhari na kujifunza. Imeishia sehemu ya 16
Weee tahadhari tenaaa???🤔! Ina ulozi au mambo ya 🍆 kwasana???😉
Hahaa.. ngoja niisome nijionee ausio!!
Santo sana dear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…