madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Aliyo kuambia wapikistan warabu ni nani uwe unaulizaMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
umetuletea ma uongo yako tukuamini inaonekana unachuki na watu jamii ya kiislam hapo Kur an inaingiajeUsiniletee uislamu wako hapa,nikiikosoa hiyo Quran yako waislamu wote mtaandamana humu jf
mkuu natamani kwenda nepal kula bata, nategemea kwakuwa ni nchi maskin basi nitaafford gharama zaoHizo nchi coco sana...hata ukienda Nepal Bangladesh...ni wale wale nchi duni sana
Hahahaha!!umetishaMtu yuko zake uswekeni maramba mawili kwenye chumba Chenye joto kajilaza baada ya kushiba Dona na dagaa wa Mwanza huku akipigwa upepo na feni la Dolphin kutoka China , anawadanganyeni kuwa Yuko Pakistan.
'';;!!
Hahhaahaaaaa!!!! Hongera zakoHuu uandishi tu unaonekana wewe nikapuku hohe hahe! ndio maana umeandika kwa hasira coz naona dawa imekuingia kisawa sawa,ungekua mzoefu wa safari usingekurupuka kuleta hiki kithread huku,kwahiyo kila anayesafiri afungue uzi jf? jitafakari wewe acha maisha ya maigizo,mimi sina haja ya kujisifu kwako eti nina hela coz wenye hela hua hawajisifu wala hawajitangazi,endelea tu kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa shemeji yako.
uwe unanimiss na mimi basiKwani mpaka nikujue ndo nikumiss? Nimekumiss mpaka naumwa
Vipi huduma zile muhimu kwa uhai wa mwanaume zipo? ! Aka dada poa!Kwa hovyo sana, nilikaa hapo miezi tisa, yaani hovyo zaidi ya hovyo
Hizo huduma zipo sana, hakuna duniani ambako hakuna huduma hii, hadi pale Saudi Arabia pamoja na sheria zao kali lakini wapoVipi huduma zile muhimu kwa uhai wa mwanaume zipo? ! Aka dada poa!
Una akili za kimaskini sana,Sasa kwenda Pakistan week 3 ndo kuwa na hela??? Sasa angeenda kuishi Marekani au Ulaya moja kwa zote si ndo ungelia kabisa,nchi yenyewe maskini Pakistan ingekuwa US je?Huu uandishi tu unaonekana wewe nikapuku hohe hahe! ndio maana umeandika kwa hasira coz naona dawa imekuingia kisawa sawa,ungekua mzoefu wa safari usingekurupuka kuleta hiki kithread huku,kwahiyo kila anayesafiri afungue uzi jf? jitafakari wewe acha maisha ya maigizo,mimi sina haja ya kujisifu kwako eti nina hela coz wenye hela hua hawajisifu wala hawajitangazi,endelea tu kusubiri ugali wa shikamoo hapo kwa shemeji yako.
Sawa mkuu.. Kila laheriMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Pashtun si kabila dogo kihivo limesambaa mpaka Afghanistan na lugha yao ni Ki- Pashto ndo wanafanya NATO na USA wasilale usingizi mzuri. Wanapigana kama siafu na ni wataalamu wa vita vya milimani mfano Torabola mountains wameichimba kwa chini utadhani ni London underground.Hongera mkuu.
Usisahau kutembelea Saidu Sharif ambao ni mji mkuu wa bonde la Swat ambalo lina mto Swat unaopita katikati..
Matunda ya apple na peach yanatoka hapo.
Kabila la watu wa hapo wanaitwa Pashtun ambalo ni moja ya makabila madogo lakini hili kabila ni maalum.
Hakuna ulichoongea, Njoo na proof hata moja mi niachane na JF mazima.Hahaaa akili ndogo kwenye ubora wenu, jaribuni kuuhangaisha ubongo hata kdg mjue kuna nn kwenye huo mkakati wa ugaidi, sio mnajazwa mavi na wazungu kwenye bongo zenu mnakuja kuropoka harufu za chooni tu hapa
Pashtun si kabila dogo kihivo limesambaa mpaka Afghanistan na lugha yao ni Ki- Pashto ndo wanafanya NATO na USA wasilale usingizi mzuri. Wanapigana kama siafu na ni wataalamu wa vita vya milimani mfano Torabola mountains wameichimba kwa chini utadhani ni London underground.
Pakistan ni wahindi siyo WaarabuMasaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Ukifika Lahore ulizia Heera Mandi, wenyeji watakupeleka.Vipi huduma zile muhimu kwa uhai wa mwanaume zipo? ! Aka dada poa!