kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,126
- 24,422
Wakuu,
Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.
Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.
Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh
Wakuu

mnaijua badoo au mnaisikiaga?
Nimeona niwafurahishe tu

Eti nioe mke wa badoo nitakua kichaa aisee

Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.
Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.
Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh
Wakuu

mnaijua badoo au mnaisikiaga?Nimeona niwafurahishe tu