badoo

Badoo is a dating-focused social network founded by Russian entrepreneur Andrey Andreev in 2006. It is headquartered in Limassol, Cyprus and London, United Kingdom, with offices in Malta, Russia and the United States. It operates in 190 countries and is available in 47 different languages, making it the world's most widely used dating network. The app is available on iOS, Android, and the web. Badoo operates on a freemium model, whereby the core services can be used without payment.

View More On Wikipedia.org
  1. kimsboy

    Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

    Wakuu, Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo. Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa. Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra...
  2. Liverpool VPN

    Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

    Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA vya watoto wake wanne na matokeo kuonyesha watoto watatu wa mwanzo si wake. Vipimo hivyo...
  3. juvenile davis

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile. Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana...
  4. Y

    Badoo inanivunjia uchumba wangu

    Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi. Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana...
Back
Top Bottom