Hatimaye nimeopoa pisi kali ya kiarabu

Hatimaye nimeopoa pisi kali ya kiarabu

Huku ni mwendo mdundo man nishajua jinsi ya kuovercome ile challenge
Cku hizi mtu ukianzisha uzi tu watu wanarejea kwenye makaburi yaliyojificha[emoji23]. Mkuu me nlikuwa nauliza tu kama lile tatizo lako la hofu na kutetemeka ukiwa na pisi kama limeisha? [emoji23] Samahani lakin! Coz ulituletea uzi hapa kwamba pisi ikikukubalia tu bas unaikinai na vimbwanga kibao [emoji23]. Vp kwa huyo shemeji yetu hali ipoje
 
Tupe analytical perspectives zako kuhusu kipochi manyoya ni kama cha kokubonza wa mwananyamala kwa kopa?
Hawana tofauti sana na hawa akina koku ila warabu wao wanakaubaridi kidogo.
 
Wanapenda rough road

Ukwasi wa majini wanao wa kununua malori na mabasi huku unashindia kashata na chai. Ukivaa Sana labda kobazi na kanzu
Duuh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kobasi na kanzu yaani hapo ndiyo umeulamba.
 
Mwee mwarabu wewe kijana watia shaka weye!! wanapendaga sana kuruka ukuta wale shekhe!! ukuta je waruka weye? km bado jiandae kurukishwa ukuta! zoea zoea kwanza niliondoka bila kuga mpaka leo
 
🤣🤣🤣🤣🤣 hasara tupu!
Wera wera wana MMU

Kwenye pilika pilika zangu nikakutana na binti ya kiarabu. Sio wale machotara hapana huyu ni mwarab og kabisa. Nikatupia ndoano mtoto wa kike akaingia kwenye 18 za mkemia


Mwanzo nilikua naona itakua ngumu maana tumeshazoea kudate na machotara na sanasana couple ya muhindi original au mwarab original dhidi ya mwafrika zinakua ni nadra sana

Mwanzo niliona hawana maajabu yoyote ila kumbe wapo[emoji91][emoji91]balaa. Mtoto ndani ya geto na kupika anapika mapishi balaa na anasoma nje ila issue ya corona ndo hivyo tena nipo naye
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom