nakuzoom [emoji249]Hongera mkuu.. tuwekee kapicha kwa uthibitisho.
[emoji23][emoji23][emoji23]nakuzoom [emoji249]
Wera wera wana MMU
Kwenye pilika pilika zangu nikakutana na binti ya kiarabu
Sio wale machotara hapana huyu ni mwarab og kabisa
Nikatupia ndoano mtoto wa kike akaingia kwenye 18 za mkemia
Mwanzo nilikua naona itakua ngumu maana tumeshazoea kudate na machotara na sanasana couple ya muhindi original au mwarab original dhidi ya mwafrika zinakua ni nadra sana
Mwanzo niliona hawana maajabu yoyote ila kumbe wapo[emoji91][emoji91]balaa
Mtoto ndani ya geto na kupika anapika mapishi balaa na anasoma nje ila issue ya corona ndo hivyo tena nipo naye
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
Mkuu hapa awamu ya tano haihusiki kwenye mafanikio hayaHongeraa mkuu,hayo ndio mafanikio ya kijana wakileo
😂😂😂😂😂😂😂 umeona angetupia kapicha ka huyo mshihiri Ooops! MwarabuUzi bila picha huu sawa na kuangalia porn bila sauti.
😂😂😂😂 Namsubiri akujibu.Tupe analytical perspectives zako kuhusu kipochi manyoya ni kama cha kokubonza wa mwananyamala kwa kopa?
[emoji23][emoji23][emoji23] DongoHongeraa mkuu,hayo ndio mafanikio ya kijana wakileo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kokubonza.Tupe analytical perspectives zako kuhusu kipochi manyoya ni kama cha kokubonza wa mwananyamala kwa kopa?
mtakie kheri mwenzio mkuu😀😀Hujamalizia jina ...huyo n MWARABU KOKO[emoji3][emoji3]
Hahaaaaae chai au sio
[emoji23][emoji23][emoji23]mtakie kheri mwenzio mkuu😀😀
Hujamalizia jina ...huyo n MWARABU KOKO[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona angetupia kapicha ka huyo mshihiri Ooops! Mwarabu
Hayo ni Maendeleo ya serikali ya awamu ya TanoWera wera wana MMU