MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,832
- 39,996
Wahenga wanasema, mcheka mwisho ndiyo mcheka sana
umesema mwenyewe "Wivu wa Mafanikio ya Wengine ni Uchawi. Acha Uchawi. "subiri aijue dunia na utamu mbalimbali
Kongole sana mkuu. Nikikua nataka niwe kama weweHabarin wakubwa
Nmeoa yule Binti ambaye nlitafutiwa na dada yangu
Nimeionja Kwa mara ya kwanza tokea uchumba Binti ni bikra bikra bikra
Ni furaha yangu kwanza nmepata mke wangu na sio wetu yaan nmemuanza mwenyewe sio wale wake za watu sis tunapewa majukumu ya kutunza na kuhudumia .
Ukioa bikra Kuna rahaaaaaaa changamoto kweny maisha zipo
Mrejesho ni huo wakubwa wangu
Mkuu sina wivu. Nampongeza kijana, ila achunge hawa viumbe wanabadilika haraka sanaumesema mwenyewe "Wivu wa Mafanikio ya Wengine ni Uchawi. Acha Uchawi. "
Asilimia 1000Mkuu sina wivu. Nampongeza kijana, ila achunge hawa viumbe wanabadilika haraka sana
Bikra ya Bukavu, utadanganya wajinga SISI tunazijua hahahaaaaa🤣Ngoja niende kule TikTok nikawafundishe wanangu jinsi ya kurudisha bikra wazirudishe wazidi kuolewa kwa wingi.
Kumbe kuna viwanda vya recycling kabisa!?Mola atujaze nguvu tele kama Samsoni mwenye nywele zake.Ngoja niende kule TikTok nikawafundishe wanangu jinsi ya kurudisha bikra wazirudishe wazidi kuolewa kwa wingi.