ππππ tuandamane urudishwe kwann wanaingilia mapenzi ya watu??Hivi umefutwa??? Unajua nmeitafuta hadi basi
Sawa ajilie ila wambea asitunyime ubuyu πππKumbe humu Pana wambea kibao mwacheni ajilie dodo chini ya mwembe ππ
ππππ uzuri wambea tuko makiniKwa sasa hata iweje hawezi sema subiri kikiwaka tutajua mpaka sehemu walipo kutania siku ya kwanzaπ
Mods wametukosea sana wapenzi wasomaji, waturudishie ππππUmefutwa leo nimeutafuta asubuhi niseme nitalipa mimi tatu mzuka ili penzi liendelee sikuona uziπ³
Kwani comment yangu imemaanisha nini mkuuKwan we huwezi mkuu
Appreciate you coz always you are so honestlyNazipokea kwa mikono miwiliπ.. Ila ile hali sio nzuri wajameni hasira mda woteππππ
Hahaha, nime imagine uki shangaa. HahahaHahahaha..eeh we una matatizo..mtu asifurahi ? Aisee hii jioni tafuta sehemu ukae umwagilie moyo
Hahahahahaha..nimeshangaa kweli ujue MkuuHahaha, nime imagine uki shangaa. Hahaha
Sema mzee tu, hahaha.Hahahahahaha..nimeshangaa kweli ujue Mkuu
Hahahahaha nani mzeeSema mzee tu, hahaha.
Haikuwa yako, nili taka kuandika mvumilie tu. HahahaHahahahaha nani mzee
aloo kwa hiyo dada yetu ni kicheche??Kelele nyingiii, serious rship hazielezewi Jf, hizi ni sehemu za mbwembwe na kujifariji baada ya kupigwa matukio ya kutosha.
Atakachofanya huyu ni akipigwa chini hutaona ushuhhda wake wa kupigwa chini.
Ila all in all kwetu wanaume wenye darubini kali mwanamke anae andika andika sana mitandaoni ni wale wasiofugika (much knows).
π π π πKinu kimepata mtwangio π€£π€£π€£π€£
Sasa usubuhi yote hii baada ya kumsisia huyu jamaaa mbususu wee unachapa marimba ya mzungu jf. Shauri yako utaachika
Yaani sufuria hazishikiki umbea umekuwa mwingi sana humuDada umeacha kupika sikuhiz unasaka ubuyu ππ