Hatimaye nimempata!

Unakitu inabidi usikirizwe😄
 
Sasa yanatuhusu nn sisi mpaka ututa gazie? Una umri gani kwani maana hizi ni za teenagers kuwatangazi watu kuwa sasa umepata mpenzi! Tufanyeje sasa??
Hujishangai ulivyo pekeyako na negativity yako🤒😂😂😂.. Anyways kunywa maji nitakuja kulipa
 
Stress tu zinakusumbua mkuu... Halafu me mbona naonaga kazi sana kua against wenzangu wakiwa wanafurahi...
Ila usiwaze utapona maana nilishaipitia hali kama yako na nimepona😂😂😃
 
Mtaachana tuuuu
 
Nimekuelewa mkuu 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…