Hatimaye nimempata!

Sio kweli kwamba tunatakiwa kupambana na kuepukana na upweke. In case you dont know, there is peace and tranquility in solitude.

And i must tell you, there is more happiness in upweke than in relationships. Wait and see!
 
Halafu ukishaipitia hiyo hatua ikaisha unakua huogopi tena kitu😂😂.. Sema tu kuna kahofu flani
Kimoyo moyo najiambia labda atabadilika atakua mke mwema lakini wapi.....anaweka status yupo na mtu mwngn hapo mi maumivu yanaanza upya kuna sehemu chini ya moyo panauma
 
Penzi jipya bana.
 
Sio kweli kwamba tunatakiwa kupambana na kuepukana na upweke. In case you dont know, there is peace and tranquility in solitude.

And i must tell you, there is more happiness in upweke than in relationships. Wait and see!
Mkuu mbona unanitisha tena😥😥.. Sikuwahi kua na furaha kama niliyonayo sasa for two years, imagine... Nilikua ni mtu wa kua alone kila mahali, nyumbani, kazini cause sio mtu wa kuvibe na marafiki sana.. But now najiona niko na peace of heart ty tofauti na mwanzo
 
Kujitetea utasema hvo🤣ukipenda sana unakosa ushirikiano ukipendwa sana unakosa zle heka heka flan hv za kwenye mapenzi kunakua kama kumepoa hv
Bora penzi lipoe ama upate hekaheka Mimi niwachane tu ata nikiwa kwenye penzi jipya hua sipendi kupoteza status yakutongoza 🤣🤣hii ndio hekaheka nayoipenda ktk mahusiano
 
Huyo jomba aliyekupata ndo yule aliyekuandikia uzi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…