Foleni ganiKumbe tulikuepo foleni na hamniambii🌝
Salama kabisa naona leo umeamka vzr full shangwe...umeouna mkono wake bwanaSalama za kwako?
Hatujui hilo sisi na halituhusu😂😂Ubaya ni kwamba hata ukisingiziwa wananzengo hatuelewi 🤣kwani utapiga picha ili tuamini?
Na hapa ndo utagundua misimamo yake kwakoNaufanyia kazi huu ushauri ☺️☺️
MTU utapimana Na wangapiAaaaaah sio rahisi hivo 🫀 lazima wandinyane kwanza kupima wingi wa oil🤣
Hahahahaha..awe ana iona tuAngalizo usimpe mpaka ndoa
Hahahahaha ,aisee itapendeza sana km ni kweli..je mdau ataweza kuvumilia ? au atakua na mpngo kando akisubiria kupewa rasmi ?Leejay49 anasema hajampa bado, anasubiri ndoa
Ujue mwezi wa ramadhani unawadia kunakuaga na ndoa zake msimu huoHuyu tumpe muda gani wakuu.
Anasubiri ramadhani ipite au wako kwaresima?Leejay49 anasema hajampa bado, anasubiri ndoa
Shida ndio ilipo hapo, Ila wacha tuwaombee watimize lengo tule ubwabwa🥰Hahahahaha ,aisee itapendeza sana km ni kweli..je mdau ataweza kuvumilia ? au atakua na mpngo kando akisubiria kupewa rasmi ?
Sijazipenda hii🤔Jamani wewe😂😂.. sikupendiiii😂😂🙌
Ila bn mkidate fanyeni kimya kimya kulaneni kimya kimya ukimkinai au akakukinai achaneni kimya kimya, mkifungulia thread siku mkiachana inaanza kama utani unashangaaa Uzi unatrend tu gaflaHatujui hilo sisi na halituhusu😂😂
Itakua wako kwaresma, hawataki dhambi za reja rejaAnasubiri ramadhani ipite au wako kwaresima?
Sini kama hiyo kuna wengine nikajua nipo peke yangu et🤣Foleni gani
Hahahahaha km ya waislamu soon maana ramadhani karibu watu wanataka kula futari ki halaliShida ndio ilipo hapo, Ila wacha tuwaombee watimize lengo tule ubwabwa🥰
Wowote wajae unapima kinaMTU utapimana Na wangapi