Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Hakuna mwanamke asiye na mapenzi ya kweli duniani. Ni wewe mwenyewe mwanamm utavyojiweka tu.

Mwanamke asiye na mapenzi ya kweli huyo ana matatizo ya kiakili aka mwehu.
Kwahiyo mwanamke asiye na mapenzi ya kweli duniani yupo au hayupo??? Maana umeanza kwa kusema hayupo, lakini umemalizia kwa kusema yupo ila mwehu..!! Akiwa mwehu anakuwa si mwanamke?
 
Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,

Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa

Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi

Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana

Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana

Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu

Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
mpe muda, utakuja unalia hapa muda si mrefu. kamwulize Adam alichokipata pale bustanini, ukimaliza huyo kamwulize Samson aliyetoa siri hadi za ndani baada ya kupewa penzi la ajabu. halafu rudisha mrejesho.
 
Kwa mara ya kwanza katika mauisha yangu
nilitoka kitambi ajili ya mpenzi wangu. Ila nilichokutana nacho sitasahau... Nilijua haitakuja tokea kitu kama kile. Never trust n love a woman kwa moyo wako wote

Glad ulijifunza ,na hiyo knowldege itakusaidia mbeleni
 
Ukiweza bakiza hakiba ya mashaka kidogo! Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Na hisia ni kitu cha ajabu mno....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu kwa hiyo zari ila naona moyo wako umerishika kabisa.Angalizo muda huo tangu mmefahamiana naye ni mfupi mno pata muda wa kutosha kumuangalia kabla hujafanya uamuzi wa kumuweka ndani
.Otherwise,ukifanya maamuzi ya kukutupuka usisite kuja jukwaani kutupatia mrejesho.
 
Kuna wakati wa kukaa kimya

1 Ukitaka kununua gari Kaa kimya

2 Ukitaka kujenga Kaa kimya

3 Mke wake akiwa anakupenda Kaa kimya

4 Chochote unachokifurahia usikitangaze

Nimeona comment za watu wengi ni negative Sana. Kwahiyo wamekupunguzia Furaha Yako Kwa namna Moja au nyingine.
Jifunze tu kuwa hakuna anayependa kuona unaenjoy maisha wakati yeye anateseka Kwa hiyo atatafuta KUKUPA hofu au kukukatisha tamaa.

Jifunze kunyamaza Kuhusiana na mambo Yako hutajutia.Wengine wakishajua Kuna Furaha unapata wapo Tayari kufanya lolote wakuvuruge urudi ulikotoka Kisha wakucheke.
 
Back
Top Bottom