Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,

Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa

Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi

Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana

Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana

Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu

Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Mwezi mmoja unakuja kabisa na conclusion kabisa
 
Wacha tusiseme,ila usiwaamini sana.
 
Kabila gani huyo mpnz wako?
Ana kazi?
Amesha zaa?
 
Back
Top Bottom