Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,601
Mkuu Salimia watu….subiri kidogo ipite miezi miwili wewe bado mpya!Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,
Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa
Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi
Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana
Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana
Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu
Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Lakini maisha ni mafupi sana kama umepata nafasi ya kufurahia basi furahi ili ukianza mtiti usiwe umepoteza muda!