Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,613
- 19,892
Kula raha mwanetu angali penzi bado bichi, maana siku zitafika utapigwa matukio sawia na Yale wanayopigwa wapalestina 😅
Vijana Wana matatizo sanaHahahah [emoji23][emoji23] acha kusumbua ww
Tutaon mengi hap na badoVijana Wana matatizo sana
😀😀😀 Kwan ulitabiri ivyo?🤣🤣🤣Yaani nilivyosoma tu kichwa Cha habari nikajua ndani nitakutana na neno "HAOMBI HELA"na Kweli sikuwa mbali na utabiri wangu.....
Hata yetu yalianza hivo hivo so ngoja tukupe muda.Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,
Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa
Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi
Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana
Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana
Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu
Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Ndio kilio Cha wanaume wa Sasa,wakiambiwa watimize majukumu wanasema mwanamke Hana Mapenzi ya dhati.😀😀😀 Kwan ulitabiri ivyo?
Mzee wa pisi Kali uko poa?Anajiandaa kukupiga tukio
ha ha ha, nipo nashangaa pisi kali zinakunywa dompo kwa chupaMzee wa pisi Kali uko poa?
Umempata wapi?Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,
Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa
Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi
Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana
Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana
Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu
Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
🤣🤣🤣🤣huku zinacheza Kwa madaha?ngoja zikutekeha ha ha, nipo nashangaa pisi kali zinakunywa dompo kwa chupa
Ukiwajua wanawake tambua unakaribia kufaDaaah ila sidhani kama atabadilika maana ni mwanamke flani ambae ashawahi kuumizwa so anajua maumivu ya mapenzi
Kwani wameisha?Umempata wapi?
ha ha ha, uliwaonea wapi?🤣🤣🤣🤣huku zinacheza Kwa madaha?ngoja zikuteke
Si ndio unavyosimuliaga kwenye simulizi zako za pisi Kali!au umesahauha ha ha, uliwaonea wapi?
rudi hapa baada ya miezi 4 ya ndoa tafadhali,Wakuu aisee mapenzi matamu Sana nimepita mahusiano zaidi ya 10 hatimaye NIMEMPATA MWANAMKE MWENYE MAPENZI ya kweli,
Kiukweli mahusiano yana mwezi mmoja ila tayari nishanenepa
Wakuu kumbe Kuna wanawake Wana mapenzi ya kweli sio wale majangili wa mapenzi
Huyu mwanamke amenifanya nijione mwenye bahati Dunia mtoto ana care Sana
Na hana tamaa ya pesa
Na ni pisi kinoma ila anajitambua Sana Tena Sana
Nampenda Sana wakuu apa ninavyoandika naona ananipigia simu
Ntarudiiiii[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Huwa ni kuchangamsha jukwaa tu, hazina ukweliSi ndio unavyosimuliaga kwenye simulizi zako za pisi Kali!au umesahau