Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

Hakuna mwanamke asiependa pesa
Pesa sabuni ya roho banah
Hakuna asiyependa pesa kwa kweli ila tofauti iko kwa wanawake wenye vyanzo na wale ambao ni matonyaistic!

Mwanamke asiye na uchumi binafsi huwa anahisi asipopewa hela na mtu wake ni kama anafujwa. Wametafta namna ya kuwa control psychologically wanaume dhaifu na kuwafanya wajiskie kama theren't men enough bila kuwapa hela wakati ni kitu optional. Its either upewe au usipewe hela na hamna sheria yeyote inayokuwa imevunjwa duniani mpaka mbinguni.

Mwenye vyanzo na anajitosheleza kumpa hela kwako ni ziada ambayo wala hawezi kukushikia bango kwanini humpi. We always do it for love.
 
Hivi kwanini hamuamini kama kuna wanawake wenzenu ambao hawana Gold diggers attitude towards men. They got their shit together like for real
Bwana si tunasikiliza wanaume wenzenu waliojipata wanasemaje😁😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-203530.jpg
    Screenshot_20231018-203530.jpg
    166.2 KB · Views: 16
Bwana si tunasikiliza wanaume wenzenu waliojipata wanasemaje😁😁😁😁
Pangeni foleni ya kuvua nguo za ndichi. 😀
1.Vunjabei shwaa
2.Frank Knows shwaa
3. Diamond Platinumza shwaa
4.Mwijaku shwaa
5.Harmonize shwaa.
........ 100 shwaaa!!! Mwaka unaisha kwa kishindo
 
Babu nimekumiss big time
Mimi pia Mjukuu, ngoja nimalize kuandaa mashamba yangu nije kuwasalimia huko Mjini, muhimu unipe msaidizi wa kunisaidia kuvuka barabara maana Babu yenu umri umenitupa mkono 🤗
 
Mimi pia Mjukuu, ngoja nimalize kuandaa mashamba yangu nije kuwasalimia huko Mjini, muhimu unipe msaidizi wa kunisaidia kuvuka barabara maana Babu yenu umri umenitupa mkono [emoji847]
Hebu nikusubiri babu yangu[emoji28]
 
Ukichukua Likizo usiache kuja kuongea na Bibi yako huku, umwambie apunguze wivu kwani Babu yenu sina Mke mdogo wala mchepuko zaidi yake yeye tu 🤗😅
Usijaree Kabesaaa granpah likizo inanukiaaa nukia hapaa lazima nicome kumwelewesha bibiii😛!

Navenye nimewamiso sasa!!
 
Usijaree Kabesaaa granpah likizo inanukiaaa nukia hapaa lazima nicome kumwelewesha bibiii😛!

Navenye nimewamiso sasa!!
Bibi yako atafurahi sana kukuona, nimeona kuna Jogoo mkubwa amekutunzia.

Alisema hamchinji hadi akuone 🤗
 
Bibi yako atafurahi sana kukuona, nimeona kuna Jogoo mkubwa amekutunzia.

Alisema hamchinji hadi akuone 🤗
Ooopssss!!! 😋😋😋😋😋😋Navopenda kuku sasa🤸🤸🤸!
Naona Desemba inachelewaaa yaniii☺️!
 
Back
Top Bottom