Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,687
- 28,849
Babu nimekumiss big timeHata ya kwetu yalianza hivyo hivyo, kuulizwa unakula nini, babe usisahau kutega neti usije kuumwa mbu, babe kumbuka kubeba lunch boks yako n.k ila saivi hata simu hapokei.
Muhimu hatukujiua tu pamoja na kutumia gharama nyingi kugharamia penzi.
Wahenga walisema tuwe na Kiasi [emoji119]