ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,711
- 5,641
Mi pia nimeacha nina mwezi na nusu, Ila nimekula pombe siku tatu mfululizo ijumaa Hadi jumapili bila kupumzika mchana usiku, hapa naumwa hangover hatari
Achana nayo na ukiamua unaweza kama ulivyosema mwanzo ulivyoacha ulikua Malaya na sasa hivi acha tena ila uwe unatumia condom pombe itakulostisha mkuuMkuu shetani kanikamata nikiruka mkojo nakanyaga mavi. Bora ninywe niangalie plan B ya uhakika nikipata niache maana pombe inanigarimu nilienda kwenye kikao.cha harusi Ndugu wa mfanyabiashara mwenzangu baada ya kunywa nikaidi 500,000 mchango baada ya mwenzangu kuahidi 1,500,000 hasara nikubwa nikiandika Ni kitabu.
Kuna siku naanza biashara Kuna mtu nilikuwa namdai mda mrefu ile amenilipa nikafrai nikasema acha nitumie 50,000 maana alitoa 450,000 matokea yake nikaichoma yote saa nne usiku mpaka saa tano asubui.
Siku ingine nimetoka kwenye msiba nikatoa usafiri zile kurupushani maana usiku ulikuwa Kama.wangu Ni mtu nilikuwa nafanya nae kazi na kwao hamna hela nikatoa gari mbili ili zishughulikie msiba nikawa sijala hiyoo Ni saa Saba nikaenda kusaka msosi msosi unachelewa nikapiga vyombo mpaka naondoka saa 9 nikakamatwa na maaskari nikawatukana nikalala ndani. Yani pombe inanitesa lakina Bado sijapata mbadala
Jitahidi bana, mbona unaweza.Nimepambana kuacha ila aisee ni ngumu hapa enyewe nna hangover matata oohh lord!
Uliipa nafasi pombe ikatawala maisha yako...Baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza Chuo Kikuu na nna miaka mitatu mtaani.
Nimeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda.
Kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani.
Imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
Tatizo jingine ukijichanganya kwa walokole kuna michango utafikiri unachangia ujenzi wa barabara ya lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ukiachana na pombe me huwa na tatizo la kusahau. Kuna siku nilienda kupiga vyombo parking ikawa ndogo nikapaki sehemu tofauti nahapo nilipokuwepo mziki ukaja wakati wakuondoka sinikasahau sehemu nimepaki nilianza kutafuta gari Kama natafuta hela.
SHIDAAAA SIOOO KUACHAAA
Ukifikishaaa wiki NNE wasiliana na MKUU PDIDYBaada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza Chuo Kikuu na nna miaka mitatu mtaani.
Nimeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda.
Kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani.
Imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
Binafsiii niliponeaa kwa HUYUU br na maombiii aikuwaa rahisiii kabisaa na SASA Niko huruuu nimeonjaa sanaa mbiloo tatuu kwa wikiView attachment 1381684
Ni ngumu sana kaka kuacha labda iwe haijakukoleo kwenye damu vzr Mimi nlishaachana na mawazo ya kuiacha maana nishajaribu zaidi ya Mara mia zote nmefeli
Baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza Chuo Kikuu na nna miaka mitatu mtaani.
Nimeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda.
Kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani.
Imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
Yaan tunafanana kila kitu! Yote uliyoyasema ndio yanayonitokea kasoro upande wa kuchovya. Nimeanza pombe rasmi mwaka 1998. Hapo kabla nilikuwa naonja onja.Mkuu shetani kanikamata nikiruka mkojo nakanyaga mavi. Bora ninywe niangalie plan B ya uhakika nikipata niache maana pombe inanigarimu nilienda kwenye kikao.cha harusi Ndugu wa mfanyabiashara mwenzangu baada ya kunywa nikaidi 500,000 mchango baada ya mwenzangu kuahidi 1,500,000 hasara nikubwa nikiandika Ni kitabu.