Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Nishaombaga tukagombana badae nikamwambia nilkuwa nampima tu ila sitaki ,, badae nikaja kuomba tena
Ungenijua the way am positive (and real) hata usingeandika hiki.

Ni vile wegine hatu entertain unafiki unafik tunapima facts mbona ziko wazi..probably umri wako bado umekunyima experience ila if u open ur eyes bila kupepesa macho huyu mtu anatudanganya

A whole year unafanya ufiraun huu kumwacha ulikua unaogopa nini!?

Serious women / girls wasiopenda mambo hayo kitendo cha kuyagusia tuu basi mtagombana na mtaachan on spot without a notice.

Punguzen unafiki in the name of being positive
 
Halafu wanachuo watamu wengi bado wabichi.

Nikiwa UDSM vibinti vilikuwa vinafirwa sana daktari mmoja wa hospitali wa pale chuoni alikuwa mshikaji wangu sana.

Alikuwa ananiambia walikuwa wanamjia sana maana kuna njemba zilikuwa zinafukua mitaro bila vilainishi na maandalizi hayakuwa mazuri. Vinaumizwa

Ila ulikuwa ukikutana navyo canteen vinakula misosi ya bei, vina pesa na simu kali, pamba kali na perfume za bei
Ila mimi binafsi kwa uzoefu wangu mbona naona kama wadada wengi hawapendi kutoa tigo, yani kati ya wadada 10 utakaogonga utapata labda 2 watakaokubali kukupa tigo, jiulize hata wewe kati ya wadada ulowala wangapi walikubali kukupa tigo kirahisi, wangapi walikataa mzabzab Mzee wa kupambania
 
Are u trying to be funny🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Na ww unataka kuingia kweny hii fani.....kaka angu nko serious tutafunga na kuomba....laana ya ndugu kuunganisha vinyeo na vikojoleo inatafuna kizazi Cha kwanza na Cha mwisho
 
Hili ni tatizo kubwa, wanawake haturidhiki na tulichokuwa nacho. Mtu anataka iphone huku hata hana uwezo wa kununua kitochi. Mimi pamoja na kuwa nina uwezo wa kununua iphone hata ya 3m lakini sifanyi ujinga huo maana sio kipaumbele changu
Well nakupendea hapo ila unakasirisha sehumu moja tuu...hutaki kunialika nilale kwenye mjengo wako wa mil 150🤣🤣🤣🤣.
Gud morning
 
Mambo ya walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."

1Timotheo 1:10-11 "Na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na waongo nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana mafundisho yenye uzima, kama vile ilivyo nenwa katika habari njema ya utukufu wa Mungu ahidimiwaye, niliyowekewa amana."

Dhambi ya aina yoyote itupiliwe mbali na tuombe msamaha kwa Mungu.​

1 Wakorintho 6:11 "Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii, lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu."

Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhmbi zangu... maana nimeyajua mimi makosa yangu "

Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji unifanye kusikia furaha na shangwe mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu uniumbie moyo safi, uifanye upia roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako wala Roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya usafi."
thanks
 
tuseme ukweli walindeni watoto wenu waliopo boardingi awe wa kike au wa kiume walimu watatufiria watoto wetu sana jifanye upo busy na utafutaji wa hela ambazo hazikupi hewa utafiriwa mke wako watoto wako na utakuja kushangaa.
Duuh
 
Hili ni tatizo kubwa, wanawake haturidhiki na tulichokuwa nacho. Mtu anataka iphone huku hata hana uwezo wa kununua kitochi. Mimi pamoja na kuwa nina uwezo wa kununua iphone hata ya 3m lakini sifanyi ujinga huo maana sio kipaumbele changu
Toa mzigo huo
 
Habarini wana JF,

Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.

Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni takriban mwaka mmoja japo tumekua hatufanyi mara zote tunapokutana.

Kusema kweli roho inaniuma sana, najiona mkosefu mbele ya Mungu wangu, nalia kila siku asubuhi ninapoiwaza dhambi hii, cha ajabu mwenzangu alikua haoni kama ni jambo la ajabu ndio kwanza alikua ananiambia mbona watu wanafanya ndani ya ndoa na inaonekana marafiki zake wanafanya pia.

Roho inaniuma najuta hata kwanini nilikutana na huyu mwanaume, ukimuona ni mstaraabu huwezi mdhania, anajifanya na yeye ulikua sio mchezo wake ila sio kweli maana kila tukikutana faragha likua anataka kunyonya huko nyuma.

Umri wangu umeenda nipo kwenye early 30th sasa, na sababu ya kutomuacha ni sababu ya malengo tuliyokua nayo na uhitaji wa ndoa na hata watoto lakini nimekaa nimefikiria sana.

Naona kwangu amani ya moyo wangu na pia afya yangu ni muhimu pia ,acha tu umri wangu uende hata bila ndoa kuliko kuja kuharibikia.

Namshukuru Mungu amenipa kazi nzuri na nna kipato tu kizuri kiasi kwamba hata nitakapopata watoto bado nina uwezo wa kuwalea pasipo hata kuolewa.

Nimekua nikisoma thread mbalimbali watu wanasema ni ngumu kuacha huu mchezo, mimi nasema ni rahisi kuacha huu mchezo kama unajua madhara yake na una utayari,nachowaza ni kwamba itakuaje nipate mwenza mpya na aje kugundua nimeshafanya huu mchezo!!,sijajua itakuaje ila all in all nimeamua kumove on,pia sio kweli et ukifanya hayo mambo unashindwa kuzuia haja ,ni mpaka ue mzoefu wa miaka 5 ndio utapata haya madhara.

Nakusihi wewe dada unaesoma uzi huu, acha kumuendekeza huyo mwanaume anaekufanyia mchezo mchafu, hakupendi na atakuacha siku ukishaharibikiwa, ukishindwa kuzuia haja na utakapoanza kuweka pampaz, mimi namshukuru Mungu kwa kuniokoa kamwe sitakaa kufanya tena hii dhambi.
Kama unaweza kulea watoto njoo pm tuyajenge. Mimi mgane.
 
Pole na hongera kwa kuacha.
Jitahidi Kumkumbuka MUNGU.
Kuna mwanaume alinambia naomba unipe mapenzi kinyume na jinsia.
Nilimuuliza tu..umeyajulia wapi na umeyatoa waapi hayo.maana nlidate nae miaka mingi.
Akaniambia rafiki yake ,Demu wake huwa anampa.
Nikamwambia tu asante.sitaweza na sitakuja kufanya huo upuuzi mpaka naingia kabrin.
Mwambie rafiki yako akutafutie mwanamke wa hiyo.
Yule kenge sijui analaanikia wapi siku hizi
 
Dnt shift blame hapa. Semeni ukweli wanawake wamejaa tamaaa. Wanataka maisha mazuri at any cost.
Hili ni tatizo kubwa, wanawake haturidhiki na tulichokuwa nacho. Mtu anataka iphone huku hata hana uwezo wa kununua kitochi. Mimi pamoja na kuwa nina uwezo wa kununua iphone hata ya 3m lakini sifanyi ujinga huo maana sio kipaumbele cha
Toa mzigo huo
Mzigo gani?
 
Back
Top Bottom