Hatimaye nime-ride baiskeli for 7hrs non stop

Kuna shemeji yangu amemuoa dada, enzi hizo 2008 kutoka goweko hadi nzega alikuwa anatumia masaa 10 akiwa amempandisha dada kwa baiskeli.
Kawaida sana tabora hiyo,kuna wale huenda kuvua samaki kwenye lile bwawa,hukaa masiku kisha hurudi na rundo la samaki wakiendesha baiskeli 150+km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…