Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,111
- 790
From TZ Daima ".....Mbali ya hayo, ndugu huyo wa Ballali aliieleza Tanzania Daima kwamba, mke wa Ballali, Anna Muganda, alikuwa ameomba msiba wa mumewe ufanywe kwa faragha, ukiwahusisha ndugu, marafiki na jamaa zao wa karibu.
Alisema kutokana na hali hiyo, shughuli hizo za msiba zilikuwa zikifanyika pasipo kuwapo kwa shughuli zozote za wazi kama vile kuchukua picha za video au kupiga picha nyingine za kawaida."
hii ni nini sasa? hakuna picha za kawaida wala za video? Kuna jambo gani linafichwa hapa?