Ila mkuu kabla ulete utetezi wako uliaga ukasema utajua mbivu ma mbichi nilijua exactly utaleta makaburi tu


watu wanajisahaugi sana.
Kuna mwanamke alikua analalamika juzi huku anataman kurejesha hisia kwa mumewe akasema mume anamsaliti etc. Mara makaburi ya mchepuko yakaletwa huku

nashindwa elewa inakujae mtu anakua kbs proud kuchepuka.. japo siwez mlaumu asilan maana sijui source hasa ni nn. Japo alijitetea mumewe ndo alipelekea yeye kufika huko lkn from the scratch hakuelezea kwamba pia anachepuka unavyoleta kisa elezea ukweli kinaga ubaga kila kitu ili ushauri utakaopewa iwe tiba kwako. Dont play victims.