Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.

Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.

Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.

Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.

Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.

Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.

Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
Kweli nshomile Yale University....
 
Mkuu mimi sio mwenyeji wa Bukoba...napasikia tu...nilikuwa nasimuliwa na bibi...kuwa wazazi wao wanatokea huko...ni asili asili yetu.
Screenshot_20210521-064729.jpg
 
Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.

Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.

Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.

Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.

Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.

Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.

Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Unaruduje bila kutupa connection ya kwenda huko? Tusaidie basi na sisi tufike huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom