Hatimaye na Mimi yamenikuta

Ushauri wa bure mle mtigo huyo mkeo upunguze machungu acha kulia lia mimi demu nikiisi tu anachepuka namla tako hasira zote zinaisha na hata akichepuka mimi roho hata ainiumi

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mkeo maharage ya mbeya hapo kuna bodaboda au muuza chipsi naye ana mpakua

Anyway tafuta pesa nunua jiko gesi asije kupakuliwa na wauza mkaa ni dharau
 



Kwanini unamlaumu mwanaume usimlaumu mkeo?

Kama umemsamehe na bado umekuja kuandika hapa tayar tatizo lipo tena kubwa. Poleni sana wewe na mkeo.

Halafu wewe buana😅😅 unawashauri wenzio wasithubutu kuoa wakati wewe ulioa , mkeo anachepuka, mkatengana, ukamsamehe na bado umemsamehe🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Nimewaza mengi ila mengine wacha ninyamaze nayo tuu ila polee mdogo wangu
 
Tena baada ya miaka mitano.. amefaidi ndoa kwa msimu mzima wa uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…