Hatimaye na Mimi yamenikuta

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo vijana wakichepuka wanajisahau,wanaanza dharau kwa aliyeko ndani ...ndomaana na wamama wamechangamka vilivyo kwenye uchepukaji
 
Mkuu wakwangu bd ajazaliwaa ndio mama mkwe wangu anaolewaa January

Hahah...mzee baba unataka kuja kuoa binti unayeweza pia mwita mwanao au yeye anakuita uncle

Ila miaka ya zamani kijijini wazee walikuwa wanaweka booking kabisa, kwamba akizaliwa mtoto wa kike basi atakuwa mke wake, au hata wa mwanaye...
 
Hizi ni kauli za hovyo sana...

Yaani kwani kukubali kuwa mwanamke amezingua haitoshi,? ,, hadi mtafute fault kwa mwanaume..
Siku hizi hata ukimfumania demu utasikia ooh ulikuwa humkazi vizuri,, mara humpi hela,, mara hujaishi nae kwa akili na vitu vingi vya hovyo... Instead ya kukubali kuwa Mke wa fulani kazingua...

Mtu akikosea akubali kosa,,, na sio kutafuta visababu vya kuhalalisha ujinga alofanya....

We nae hovyo tu,, hadi siku mkeo aliwe ndio utaelewa kuwa tatizo sio kumsugua vya kutosha..
 
Haya wewe ukioa utakuja kunikumbuka kwa hicho nilichoandika
 
Yaani jambo dogo hilo ndio umekuja kulia lia huku!! Hebu tulia na mkeo huko mjenge familia yenu.
Wajenge familia gani wakati jamaa kashakula kona,huyo mwanamke imekula kwake.
 
Mimi tayari nimeshamwambia yaani siku nikigundua unafanya mautumbo sijui maini nafunga biashara. Sina ubia na biashara kichaa!! Sijali kama tumezaa wala nini napiga chini.

Na asihangaike sirogeki(limbwata)!
This is how it supposed to be..

Unafunga biashara kichaa hakuna kujali kama mna mtoto au laa..mambo yatajisort poa tu kama mume una akili na watoto wakikua watajua mama yao alivyoharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…