Kaka bora hata hao wanajeshi wabebe tu hiyo nchi kuliko mijitu kama mubarak. Pia hata hao wanajeshi watajifunza kilichompata
mubarak
yyes, they are free at last.Mkuu hawa wa hapa kwetu wanajifanya vipofu na wameshindwa kusoma alama za nyakati. Lakini siku yao
inakaribia very soon
hata magogoni leo hapalaliki, ni joto kubwa ingawa kuna viyoyozi..duh naf:twitch:urahi sanaMoshi unafuka Khartoom
Hana washauri,ila ana genge la wapambe na wahuni wanaomuongopeaongopea baasiWashauri ni wale wale kama wa Mkwere wanaomshauri achakachue matokeo, awakumbatie mafisadi, na aendelee kuwadanganya wadanganyika kwa kauli mbiu za amani na utulivu wakati anazidi kutuletea maisha magumu, na anapora haki na kuumua raia wema. Unless he changes, the next victim of mass demonstrations is Jakaya Kikwete.
Na ninakuhakikishia kama kweli dhoruba hii itatua khartoom'basi amini tusiamini itatua Uganda,Tanzania,Moshi unafuka Khartoom
Mkuu mimi niko teyari kulianzisha Songea na nitakuwa front-line kama mfanoKujifunza kuwe kwa vitendo isiwe maneno matupu.Kama hatuwezi tunyamaze vinginevyo tuanzishe movement,tukifanikiwa kuanzisha katika miji mikubwa kama Dar,Mwanza,Arusha na Mbeya tutakuwa tumemaliza kazi.Mimi binafsi nipo tayari kuanzisha na ku-organize move katika mji wa Mbeya
Wakuu inaonyesha (tetesi) Mubaraka ameondoka Misri yeye na familia yake ila destination bado haijajulikana na wala haijulikani kama ndo kaachia madaraka au vipi?
Source; Aljazeera
Chenye mwanzo kina mwisho. Siku si nyingi watu wataliaazisha kwenye miji mikubwa around TZ.Nani alianzishe?
Watanzania wana maisha mazuri sanaaaaaa,walimu wanakula bata,...polisi ndo usiseme yani kwa kifupi maisha ni mazuri na hakuna mfumuko wa bei ndo maana unaona hakuna anae lalamika
Mbiu sahihi ni nguvu ya watu au nguvu ya mbaga. Mbaga ni neno ambalo makabila ya kanda ya ziwa hutumia kumaanisha umma ambalo ni neno la kiarabu.Wee acha tu mkuu. Hakika chadema hawakukosea kuanzisha kaulimbiu hiyo (nguvu ya umma)
aende saudia