"Hatimaye Millard ayo amerithi adui"

"Hatimaye Millard ayo amerithi adui"

Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao..
Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake...
Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi kukuta habari yoyote ya WCB...najiuliza maswali Millard ni mwajiriwa wa clouds media ni kweli na yuko sahihi kutotangaza habari za WCB akiwa kwa mwajiri wake...cz wanabifu na WCB.
Sasa ayotv,IG page,YouTube ac na website ni zake binafsi kwann anaogopa kutoa habari za WCB?
Mbona sam misago anatoa habari za diamond bila kujali bifu iliyopo na EATV?
Mpaka mda huu ninavyoandika pitia IG page,na YouTube Ac ya Millard habari za WCB zinaviews nyingi kuliko habari yoyote ile...
Nakushauri adui arithiwi ...jari ur business..

Usiwe mpumbavu kijana, WCB is nothing ni jina tu na Millard hana sababu wala jukuma la kuwatangaza ama kuzungumzia chochote kuhusu wao.
 
FANYENI KAZI ZENU, USIKU SI MBALI,
KESHENI SAA ZENU VUMILIENI:
...
 
Watu bwana, wamejisahaulisha kwamba WCB hawapigi nyimbo za mavoco toka wazinguane, na pia hawampost hata akiachia wimbo mpya, wanajifanya hawajui na wanajisahaulisha. Lakini clouds wasipopiga wimbo wa jide, au WCB ni kelele humu. Kila media ina interest zake ni vigumu kumsapoti mtu ambaye mmekwaruzana. Haihitaji degree kujua haya, hata mtu akiuliza kwa nini WCB hawapigi nyimbo za Mavoco nitamwona zezeta tu.
 
Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao..
Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake...
Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi kukuta habari yoyote ya WCB...najiuliza maswali Millard ni mwajiriwa wa clouds media ni kweli na yuko sahihi kutotangaza habari za WCB akiwa kwa mwajiri wake...cz wanabifu na WCB.
Sasa ayotv,IG page,YouTube ac na website ni zake binafsi kwann anaogopa kutoa habari za WCB?
Mbona sam misago anatoa habari za diamond bila kujali bifu iliyopo na EATV?
Mpaka mda huu ninavyoandika pitia IG page,na YouTube Ac ya Millard habari za WCB zinaviews nyingi kuliko habari yoyote ile...
Nakushauri adui arithiwi ...jari ur business..
Mkuu kama ulimskiliza kusaga alisema siku hizi anafanya partnership na wafanyakazi wa clouds na akamtaja Millard pia akamtaja B12 so mkuu ni hakika kuwa inachafanya Millard hiyo AYO tv na app si yake 100%
 
Yupo Partnership na ruge
 
Inawezekana lakini unaelekea kila kinachomlikiwa na wafanyakazi mara nyingi ni partnership unaweza kukuta hata car wash ya perfect ni partnership na dadake kusaga

Sio mbaya kiukweli clouds ndio Media pekee inatoa partnership kwa wafanyakazi wake kwa kiwango kikubwa kuliko media yoyote hapa bongo wako free sana wale jamaa
 
Back
Top Bottom