The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,479
- 122,780
JoanahKwahiyo ushakula makande.....hebu nipigie kwanza
salaam mkuu, najaribu kukuletea message inbox naambiwa kunradhi kuna changamoto nijaribu baadae.How did you get there mkuu, nipe ABC na unapiga issue gani USA.. Hata kwa pm kama hutojali mkuu
Bro leo upo kwenye heat nakuona 😂😂😂Makande nakula Jumamosi, Jumanne na Alhamisi we binti...
Ukimaliza kula njoo tujifiche...
Bro umebadili namba au umeniblock? Kila nikipiga nasikia tititiii tititiiiJoanah
Hebu ona hawa.
🤣🤣🤣nasubiri uwe ovu tumalizane...Bro leo upo kwenye heat nakuona 😂😂😂
Nitakucheki baadae bro,nipo na mchepuko wangu kwanza.Bro umebadili namba au umeniblock? Kila nikipiga nasikia tititiii tititiii
Kumbe ndo maana umenitia block 😄Nitakucheki baadae bro,nipo na mchepuko wangu kwanza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nasubiri uwe ovu tumalizane...
Kwa kweli kigamboni,hewa/upepo,ukichimba kisima kigamboni yote maji yake baridi, nyumba hazija bananaKwako sehemu ipi unaona inafaa kuishi.
Siishi kiluvya ila kuna maeneo mazuri sana kuanzia mbezi mwisho hadi kibaha, miinuko inafanya hewa iwe nzuri hasa maeneo ambayo yamepangika.Kwa kweli kigamboni,hewa/upepo,ukichimba kisima kigamboni yote maji yake baridi, nyumba hazija banana
So true, until you realize that education is different from knowledge and wisdom utakuwa a cog in a mashineKnowledge sahihi ni ile inayosababisha utumie siku zako za kuishi ukiwa na amani na furaha siyo mifumo ya kufungwa akili iliyowekwa na wenye akili ili wafurahie maisha kupitia rasilimali unazozikosa kwa kufungwa akili.
HakikaaMidlife crisis inatukumbusha kuwa maisha hayasubiri mtu. Tatizo ukiwa kwenye 20's unaona una muda wa kutosha. Mara paaap 30s hiyo
Miaka inakimbia, wazazi wanazeeka, marafiki wa karibu wanapotea kila mtu na hustle zake kuna wakati ni kama uko peke yako unapambana
Na ndoto zinaendelea kusogezwa mbele
Midlife crisis inatukumbusha kuwa maisha hayasubiri mtu. Tatizo ukiwa kwenye 20's unaona una muda wa kutosha. Mara paaap 30s hiyo
Miaka inakimbia, wazazi wanazeeka, marafiki wa karibu wanapotea kila mtu na hustle zake kuna wakati ni kama uko peke yako unapambana
Na ndoto zinaendelea kusogezwa mbele
Duuh aisee, kweli hakuna usawaMtafutaji kama wewe tu
Usipanic mkuu. Pia fikiria, kila mtu akimiliki gari maisha yangekuwaje? Kila mtu akijenga nyumba maisha yangekuwaje? uhalisia kuna vitu unaambiwa kama matarajio ila sio wote watakaofikia, ridhika na kile Mungu alichokujalia alafu panga mambo yako pasipo na stress.Walituambia by 30s tayari tutakuwa na nyumba, gari, mke na watoto.
Kumbe 30s za wazee wako sio kama 30s za leo,
Mtu ana miaka 50s bado anaishi nyumba ya kupanga? 😂
Wazee, we are cooked.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Kweli kabisa love is for, women children and dogs... A man is only respected for what he brings to the table.
Kwenye ngoma yake ya dear mama kuna line inaenda..Mistari wa Tupac 'since I've got only one life to live...' nilikua siuelewi zamani,siku hizi nauelewa vizuri