Hatimaye microchip yaanza kuwekwa katika miili

unabwabwaja kwa sababu una afya njema ila Mola aliyeumba mbingu na ardhi akakupa mtihani wa maradhi utakesha kumlilia kila siku, usikufuru kwa haya maisha ya kupita tena mafupi sana
Mimi tena????
 
Ukitizama move inayoitwa "kingsman the secret service" ndio Uta Pata picha vizuri.
 
Ukitizama move inayoitwa "kingsman the secret service" ndio Uta Pata picha vizuri.
naipata iyo movie samwel jackson(yule black mwenye kithethe anapoongea) anavyokuja kuvuruga ubongo wa binadamu wengine kias kwamba wanafikia kupigana mpk kuuwana bila kujitambua kwa msaada wa zile chip ambazo alidai zinaoffer free calling & internet. unajua watu wengi wanaangalia movies kwa kujiburudisha bila kutambua dhamira ya kishetani iliyojificha nyuma ya movies industry especialy Hollywood
 
Tuko pamoja.
 
Acheni hizo, tuleteeni ushahidi kutoka Bible, kuhusu hizi chip, mbona vitu kibao mwatumia na hamsemi ni 666,
 
Hakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
Sio swala LA dhehebu ni swala lakujifunza biblia vzr na sio kukurupuka
 
Umekurupuka labda ungejiuliza kwnn kwa hilo amefikiria 666,usiseme kitu km hujui tena kwa shutuma hutajua kamwe
 
We sio mzima
 
Reply za uzi huu zimevamiwa na mambumbumbu ambao ni wepesi wa kuongea klk kufikiria nadhan hizo chip ni hatuA ya mwanzo kbs ya alama ya mnyama km Bible ilivyoeleza yaan mtu hatauza wala kununua kitu bila ya alama hiyo kwenye mkono au paji LA uso, ss ukiona watu wanaleta hoja hiyo kwa chip na sio computer ujue kuna kitu wanAjua ambcho ww hujui kwhy jifunze usikurupuke vipo wazi kwa mdadisi kujua
 
Hiyo ni moja ya utekelezaji kuelekea New World Order(dunia kutawaliwa na serikali moja ya kishetani) pia hiyo itawasaidia kutrack down watu popote walipo.Kweli nimeanza kuamini mwisho wa dunia unakaribia
 
Hakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
mkuu usimbeze huo ndio ukweli biblia hasa ufunuo ni maneno ya kinabii ambayo lazima yatafisiriwe ili kuleta maana iliyokusudiwa. ukisoma
ufunuo 13:11-18 kama ni mfuatiliaji ukijaribu kuunganisha mwelekeo na utendaji kazi wa hiki kifaa utagundua kwamba unabii uliotolewa unakwenda kutimizwa.
 
mkuu funguka zaidi tuambie chip. za computer zimefungwa wapi kwenye miili ya wanadamu?
 
mkuu hata ikitokea dunia yote kwenda kushoto,
usiogope kwenda kulia ikiwa una amini uko ktk njia sahihi.
 
Umekurupuka labda ungejiuliza kwnn kwa hilo amefikiria 666,usiseme kitu km hujui tena kwa shutuma hutajua kamwe
kakurupuka huyu hajui kwamba dunia inatembea kwenye kalenda ya Mungu,
na kila jambo kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…