Refference Please666
Kitabu cha ufunuo kimeandika kila kitu hakutakwepo na kuuza wala kununua bila microchip
Sisemi kuwa ni uongo lakini pia si mbaya kama ungeweka na source please.Teknolojia ya kupandikiza kadi ndogo kwa lengo katika mwili wa binaadamu kudhibiti wizi wa kimtandao imevuta hisia za watu wengi katika maonyesho ya Teknolojia ya Mawasilano ya CeBIT ya mjini Hannover. Kunafanyika upasuaji mdogo kisha unawekewa"chip" ndani ya kidole inayokuwezesha kupata huduma muhimu za kibenki, kufungua milango na hata kuongoza nyenzo nyingine za kidijitali.
Hakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia666
Kitabu cha ufunuo kimeandika kila kitu hakutakwepo na kuuza wala kununua bila microchip
Baadhi ya binadamu hasa waafrika na labda watanzania tumekataa kufikiri kwa mapana kabisa kuhusu uwepo wetu hapa duniani na lengo kuu la Mungu kutushirikisha uwezo wa uumbaji ilikuwa nini?Kwa nini mnakaa mnaongopa habari za namba 666? Hiyo micro chip ni nini hasa mpaka muone ni issue? Kuna vitu vingapi vimeamuliwa vifanyike kote duniani na mbona hajasema ni namba 666? Smartphone na Computers na vitu kibao vya Electronics vina Chip kama hizo mbona hamsemi ni namba 666?Mbona sio jambo jipya? kwenye mahospital makubwa ya Marekani watu huwekewa hiyo chip kwa muda wote utakaolazwa hapo. Hii husaidia kupata taarifa za mgonjwa au marehemu haraka wakati wote ukiwa hapo. Pia husaidia kutoa taarifa za jinsi mwili wako unavyofanya kazi kutokana na dawa ulizopewa....
Hii ya Ujerumani inatishia watu kiasi fulani, hasa privacy za mtu husika...., je watu wanaotengeneza chip watakuwa na uwezo wa kuingilia privacy zako?
Ahahaha! Ukiona hivyo basi ujue pia ni dalili za nyakat za mwisho, kila mtu mjuaji.Hakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
Hahahaaa.Hakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
Nyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,Hizi ni nyakati za mwisho....wanaadamu tuwe macho....yale yaliyonenwa na manabii yote yametimia....
Samahani mkuu....nadhani tuna mitazamo tofauti katika mambo ambayo haitakaa iwiane kamwe....kwa hiyo mkuu baki yako na mimi nibaki na ujinga wangu....Nyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,
Acha ujingaNyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,
Hoja za kipumbavu kabisa hizi!Nyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,
Mh Muogope aliyekuumba utakutana naye labda utafute mechanism ya kuzuia kifoNyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,