Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

ni moyo ndo uligoma kumove that time,hope wewe ni mdau wa mapenzi kwamba smtms its hard to say goodbye

kati ya magonjwa ambayo sitakaa niugue(labda kwa lishe) ni pressure huwa namove on haraka sana na stress huwa hazina nafasi kubwa ktk maisha yangu, i thank God for this, so naishiaga tu kushangaa watu km hivi.
 
I wish ningekuwa kama wewe,Mshukuru sana Mungu kwa moyo huo
 
I wish ningekuwa kama wewe,Mshukuru sana Mungu kwa moyo huo

kama ni kweli upo km binti mmoja namfahamu ye huwa anatembea na moyo wake kwenye kikapu akifika mahali anaumwaga km kafika vile, anaumizwaaaa anateseka mpaka huruma, itamchukua hata 3years to move on, ila akipata mwingine inakuwa ni yaleyale!!! mie naishiaga kumhurumia tu huwa anatamani sn awe km mm ila ndio hivyo huteseka sn na pressure juu!!!!

huu upofu mie huwa siuamini sana maana maisha yangu yana thamani sana kuliko kujipa shida zisizo na msingi wowote!h!
 
Kweli upungufu wa akili ni mbaya sana.ni afadhali kukosa kila kitu but uwe na akili.walaa sijaingia choo cha kiume hii ni movement from Daufur to Vatican

Huna lolote nawe uligongwa tu, eti ukajisikia amani ha ha ha
 
Not mama mchepuko tu am a professional mama mchepuko.enhe kinakuuma nini maana.naona mapovu yanakutoka na kujichekeshachekesha kupretend kwamba u r ok wakati inside unaona maruweruwe???.....fanya yako idiot,

Hv mnashindwa kujua mtu aliyechanganyikiwa!
 
Mi nashangaa mnaogeuza huu ni uwanja wa kusutana bila hoja za msingi.
Hivi huyu dada mnamsema kwa lipi?

Kwani huyo mwanaume ana ndoa nae? Wote si ni wazinzi tu?
Mwanaume ana msululu wa wanawake, kwahiyo mlitaka dada akae tu asubiri majaaliwa? Likimchwea uzembe wake.

Haya, kafanya maamuzi mnamseeeema eti hajui thamani yake, ipi?
Angekua kamsaliti mume ningekua upande mwingine ila mwanaume haeleweki msimamo wake na hana heshima kuna hasara gani? Kajiongeza tu, atakayokutana nayo huko mbele majaaliwa.
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......
Lol tunashauriana, sio jazba, hata yesu alikula na yule ....malizia
 
Mimi sijaona kosa lako na siwezi kukunyooshea kidole Im not perfect too....lakini kama umeamua kumwaga mboga hakikisha unao msosi mwingine wa maana
kama umelitema "Dishi"lako hakikisha uliyempata sasa hatakuwa dishi tena...

ni kushauri tu angalia makosa/Mapungufu yako uliyoyakuwa nayo wakati ukiwa na Mr.Dishi usiyarudie tena kwenye penzi jipya yatakugarimu na kila siku utakuwa unasema"Nimewakosea nini wanaume kwanini mimi tu"

BTW hilo dishi linakamata channel ngapi.????
 
Nenda jukwaa la sijui science and technology sijui watakuelekeza,maana ungekuwa hapa ningekuonesha kwa phone

Kama umeshindwa kunielezea naomba kukuuliza, una uhakika na unachoongea au unakisia tu?

Halafu hapo kwenye ID yako kwanini isiwe Cute badala ya Qute? neno Q la Kiingereza hufuatiwa na herufi mbili. Amma que amma qui. Kulikoni?
 
kama ni kweli upo km binti mmoja namfahamu ye huwa anatembea na moyo wake kwenye kikapu akifika mahali anaumwaga km kafika vile, anaumizwaaaa anateseka mpaka huruma, itamchukua hata 3years to move on, ila akipata mwingine inakuwa ni yaleyale!!! mie naishiaga kumhurumia tu huwa anatamani sn awe km mm ila ndio hivyo huteseka sn na pressure juu!!!!

huu upofu mie huwa siuamini sana maana maisha yangu yana thamani sana kuliko kujipa shida zisizo na msingi wowote!h!

huna lolote wewe hujafika penyewe nakwambia.utatoka kwa mbinde.
 
Na salary nzuri ndo ilikufanya uvumilie vumilie kidogo,..
 
Muombe Mungu hyo njia kuu yako mpya nayo isiwe na njia kuu yake na kukufanya ww kuwa mchepuko wake
 
Kama umeshindwa kunielezea naomba kukuuliza, una uhakika na unachoongea au unakisia tu?

Halafu hapo kwenye ID yako kwanini isiwe Cute badala ya Qute? neno Q la Kiingereza hufuatiwa na herufi mbili. Amma que amma qui. Kulikoni?

Qute ni kingereza hicho?????, basi watu kwa kujifanya mnajua kila kitu
 
Kugongwa ni lazimaaa hiyo ni tangu enzi za kina Adamuu, na ndo maana mama yako aligongwa ukapatikana wewe

Aligongwa ndan ya ndoa nikapatikana sa we unaeonjesha kama karanga et unamkomoa men
 
Back
Top Bottom