Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

nawe amua moja....kama ni dishi ama mchepuko.....
 
najua huelewi ndo maana unasema hivyo. Sikujui ila am sure umeliwa sanaaa hiyo k yako. Usitake kujifanya saint wakati hamna kitu hapo
usitake kujitia unanijua kwangu kugawa k kwa kila mtu hakuna tofaut na mwanamke Malaya asiejielewa thamani yake ni kujitambua tu au hujui ukigawa sana k unazeeka hata sura
 
Habari wapenzi,...

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi walaaa ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao walaaa hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia basi sepaaa... maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuachana moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawaka utadhaniaga sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia et nichart na mchepuko watsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema march unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Whoiii nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, Niprove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa nnchojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nshampa go ahead ya kuniona ? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nakasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

Sasa kimenuka ndo unamuanika kuwa yeye ni DISHI na asiye na maendeleo? Baadhi ya wanawake nyie wanafki sana! Ila pole, songa mbele, muache na 'malaya' zake ila akili zikimrudi anaweza kukutafuta kukuomba msamaha.
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......

Faida nlizopata ni nyingi sanaaa mamaa,nilikuwa nawaza nikiwa na mwanaume mwingine ntaridhika kimapenzi kweli??? Kumbe inawezekana fresh.wish unione how much am happy since nimecheat na kufunguka akili kwamba i can live without him in my life
 
owh that's good for you.....................!! make sure huruki mkojo ukakanyaga kinyesi kikubwa be careful mapenzi mwanaharam
 
wakati ni wapenzi hukuyaona hayo kuwa ni dishi tu na hana maendeleo.......

haambiliki hashauriki au ndio yale maneno ya mkosaji

BTW hongera kupata wa kukuliwaza pia

ni vile sina jinsi ya kukupruvia, but am sure atapita hapa yeye na ataona kwamba ninavyosema ni kweli
 
Una moyo mgumu sana. Lakini ndiyo hivyo wanawake wema hupata wanaume wakorofi, wanaume wema hupata wanawake wakorofi. Kama uliamua kuchukua maamuzi hayo wewe fuata moyo wako.
 
Una moyo mgumu sana. Lakini ndiyo hivyo wanawake wema hupata wanaume wakorofi, wanaume wema hupata wanawake wakorofi. Kama uliamua kuchukua maamuzi hayo wewe fuata moyo wako.

asante
 
aseee wewe dada nani kakuambia dawa ya kusulihisha kupata amani ya moyo wako kwa kua ulisalitiwa na wewe ukacheat ? nachokiona nyote bado watoto mwanaume hawez kuniendesha kiasi hicho kibaya zaidi hajanioa ni kimada na bado ananionesha live anavochat na vimada wenzangu bado nipo tuuu shabash..........

ni kufanya nyuma geuka then naondoka tu hapo umekzania aku prove kama kashaachana nao nani alikwambi mwizi akiiba husema nimeiba pikipiki mbili na baiskel kwa mangi eish zinduka wewe unafanywa mpira kubutuliwa kila mahali halaf umekaa hapo umekuja shtuka ts too late tayar,,,,,

haya sasa usha cheat kwa mwengine ulipata faida gani kama si kujidhalilisha mnaniboaa nyie wanawake wenzangu msiojijua thamani zenu wala kujiheshim kabisaa......

Hajitambui huyu
 
Title yake amejiaminisha kuwa mchepuko kawa njia kuu lakini ndani ya maelezo sijaona kiashiria chochote kinachoonesha kuwa huyo mchepuko kawa njia kuu[/
ni story ndefu ndo maana nikaishi hapo ila nadhani umenielewa.mchepuko ni njia kuu
 
ndio maana umeshika tama! pole sana!
 
Back
Top Bottom