Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Aaaaah nyie wanawake bwana Hamjui mkitakacho.wallah furaha utaipata sahizi wakati mnaanza mpenz moto moto baadaye utagundua umeingia choo cha wafungwa utajuuta! Kama ulikuwa unampenda kwa dhati usingemdharau hivyo hope ulivyoona anamshahara mzuri ukajua mambo yatakuwa super hujui ana mipango gani mingine yaani ulitaka hela zake ziishie kukuvisha pamba na kula vizuri mweeeeh poleeee imeniuma kama nimefanyiwa mie vile

Kweli upungufu wa akili ni mbaya sana.ni afadhali kukosa kila kitu but uwe na akili.walaa sijaingia choo cha kiume hii ni movement from Daufur to Vatican
 
leo ndio unamuona ni dish wakati ulikuwa umpa go ahead ya kukuoa!!!!.....binafsi nasema wewe ni mwanamke mjinga sana.

Wewe ndo mjinga usiyeelewa do u think ntaeleza kila kitu hapa????. alisema nimpe muda ifikapo march atakuwa keshatekeleza hayo,na tulikuwa kwenye process.usikurupuke tu ukaleta conclusion zako hapa utadhaniaga wewe ndo muhusika,ungeuliza.
 
Wao wanakojoa wakiwa wamesimama,wewe wakojoa ukiwa umechuchumaa mpaka apo ujaona wao niwakina nani? utabaki hapo hapo tehee

Na wao wakiwa wanakata gogo wanachuchumaa kukojoa vilevile,maana mavi na mkojo vinakuja kwa pamoja, sema kingine
 
Na wao wakiwa wanakata gogo wanachuchumaa kukojoa vilevile,maana mavi na mkojo vinakuja kwa pamoja, sema kingine

Hahahahah kweli kakuvuruga wallah,mwanaume mwanaume tuu,wewe mwanamke utanyonyesha mpaka basi bado huoni utofauti haahah,kwanza wewe umetoka kwenye ubavu wa mwanaume. Oops pole lakini,your happy now with your brand new ,hongera Kwahilo
 
Umefanya uamuzi sahihi wakuachana nae,siyo wanaume pekee ndio wanaumia mtu akifanyiwa yale aliyokuwa anafanya,tumejifunza tabia na jinsi watu walivyo humu(kwa uchache) kupitia story ya DAUDI1 ambayo bado inaendelea...ukijaribu kuangalia michango ya watu hapa wana tabia kama za X wako...lakini pia ninachoweza kukushauri ni wewe KUTULIA kwanza,kwa sababu ninaamini kuwa huyo aliyekuwa mchepuko wako haukuwa na sababu chanya zakuwa nae zaidi yakutaka kumkomoa huyo X wako,sasa tulia fikiria mapungufu yaliyopo katika upande wako katika mahusiano yaliyopita ili utapoamua kuanza na mwingine ujue jinsi yakukaa nae,vingine utakuwa mpira wa kona...
 
so kunyonyesha kwa mwanamke ndo kumfanye asiweze kushindana na mwanaume???.kafie mbele na
nonsense zako .huu ujinga wako kamueleze ur grandmother
 
Asante kwa ushauri mzuri sana,nitaufanyia kazi
 
kuchanganyikiwa huku.. mapenzi ya namna hii m siwez jihusisha kwakweli..
 
una moyo sana eti akuprovie??? ili iweje? mtu ana vimalaya kibao vimada kibao stil eti unampenda? kwa lipi? BTW how old a u??[/QUOTE, si ndo hapo sasa namshangaa kuniletea mambo ya kitoto
 
Maneno yako haya: "Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala."
Haya maneno yamekaa kama ulifanya kwa nia ya kulipa kisasi. Tuwe wakweli, sasa hivi unajutia ulichofanya na watambua kuwa haukuwa sahihi.

Simaanishi hivyo unavyomaanisha,soma tena,tafuta na kamusi kabisa ikusaidie
 
hongera sana mwaya yaani nakupongeza, hapo umepiga hatua, ningesikitika sana kama ungesema huwezi kumwacha. Ushauri wa bure hata ukiumizwa huko ulipotua usimrudie yaani jikaze tu my dia angalia mbele daima. Mtu hawezi kucheza na hisia zako then ukamchukulia poa. Hapa watu wanaponda kinafki tu ila moyoni wanautamania ujasiri wako.

Thank u dear,asante sana
 
Muongo wewe, mbona imekuuma na kukuchanganya mpaka umeamua kumuanuka jamaa humu JF. Huu si ni umbea tu wa kawaida.

Unajua kuanika wewe???unaweza niambia huyu ni nani namzungumzia??.this is my account ati! Wala hunipangii nipost nini.Get busy
 
so kunyonyesha kwa mwanamke ndo kumfanye asiweze kushindana na mwanaume???.kafie mbele na
nonsense zako .huu ujinga wako kamueleze ur grandmother

What the fucking hell are you saying:what: hahahahaha Mimi na wewe who is talking nonsense hahahaha but is not your fault at all,calm down you mama mchepuko lol,huwezi nielewa maana ushachanganyikiwa na mchepuko wako mupya hahaah,kweli umeweza shindana nae ndiomana jamaa akawa na idadi nyingi ya malaya kereuwi it seems like michepuko competition hahaahh ndomana ukaamua kuchepua wako ,jamaa kashafunua ndo wamuona dishi,what a shame girl hahaaahaah,kufa nitakufa ila muda ukifika sawa mumy,hahahahahaahhahaha ngoja nicheke tu,maana nimepata comedian Wangu unanifurahisha
 
Back
Top Bottom