Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

Mi nashangaa mnaogeuza huu ni uwanja wa kusutana bila hoja za msingi.
Hivi huyu dada mnamsema kwa lipi?

Kwani huyo mwanaume ana ndoa nae? Wote si ni wazinzi tu?
Mwanaume ana msululu wa wanawake, kwahiyo mlitaka dada akae tu asubiri majaaliwa? Likimchwea uzembe wake.

Haya, kafanya maamuzi mnamseeeema eti hajui thamani yake, ipi?
Angekua kamsaliti mume ningekua upande mwingine ila mwanaume haeleweki msimamo wake na hana heshima kuna hasara gani? Kajiongeza tu, atakayokutana nayo huko mbele majaaliwa.

Kujiongeza tangu mapema alikuwa wapi hakuwa na bwana huyo tayari, bwana anamichepuko kibao angesepa mapema kichekesho ni kwamba et nae alienda kugongwa ili amkomoe bwana. Ha ha et alivyogundua nimemchiti akawa mkali mi nkajisikia faraja, hii kauli ndo inanipimia akili yake huyu Dada jaman
 
Mi hapa pa UNAFIKI ndio nawachokaga...
Ni vile tu hatujuani, otherwise tusingekua na ujasiri wa kujidai watakatifu.

Sio unafiki tatizo huyo Dada ni mkali hatambui kosa soma thread tena akiambiwa kwa upole anajaa povu. Bf wake ana Malaya kibao ye yupo tu hajaolewa ni kimada ujue mbaya zaid anachepuka ili kumkomoa jamaa
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

Jifunze "its done now" japo ni ngumu katika mapenzi unaweza kumng'ang'ania mtu ambaye hana lolote just mazoea na kuona alichokuwa akikufanyia atamfanyia mtu mwingine (wivu hapo) na kujitahidi kum hold. kumbe hata alichokufanyia hakifikiii kwa yule utakayempata baadae. Sasa kwa mfano dada bado umempa nafasi huyu bwana pamoja na yote hayo . . . . jifunze kufunika kitabu kinakupa nafasi ya kusoma vingine vizuri zaidi
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.

duuuh! kwanza hapa umri na kujitambua ni tatizo!!! mshaur na mshauriwa..! wakat mwingine dada fanya kwanza wewe mtu aone mfano, otherwise uniambie huna kipato, halaf mtu hajakuoa acha tabia ya kujiaminisha kuwa tufanye hiki, mwingine anajiuliza nifanye na wewe kama nani? hivo wewe fanya yako mwache afanye yake ukiwa wa kudemand tu hawezi kukuelewa!!

pili, unaonekana lengo ni ndoa na sio maisha mtu na mtu wake yanayoweza pelekea ndoa, how sure ur kwamba sasa umepata njia kuu!!? kwa mwendo huo utachunguliwa sana kama ni mtu wa kuforce ndoa!
hivo vichwa hivo vinakushangaa! hata uliyenaye anakushangaa kwamba kama unaweza kumcheat yule kwa yeye why not yeye kwa mwingine?

funguka mdogo tulia wa ndoa atakuja tu..!!! sio kwa stail hiyo ni mbaya sana..!

all the best anyway
 
Dada kwanza nikupe pole,pili kuna kitu utakua umeshajifunza usiangalie sana kipato cha mwananume kuna siku kitakupeleka kaburini kabla ya siku yako,huyo mwananume uliekua nae hakukupenda na alijua macho yako yako kwenye Pesa tu na ndio maana akakutesa sana,pesa ilikufanya ukasahau kabisa kua mwanaume ni dishi na asie na mtazamo wa kimaendeleo na ndio maana pamoja na ushenzi wake woote bado ukampa nafasi ya kukuoa,eneo hili kuanalo making sana!

Usipasuke kichwa na baadhi ya michango ya wadau humu wengi tuwanafiki sana,inaonekana huo mchepuko umeshaupitisha kua njia kuu natumaini kua ulishauelewa/fahamu hivyo mtasonga kwa amani,

Sisi binadamu dada hakuna alietimia! kikubwa Ni kujifunza kutokana na makosa kisha kujipanga upya,kila la kheri.
 
Habari wapenzi.

Hakika nimeamini kwamba wanaume ni wabinafsi sana, simaanishi wote ila asilimia kubwa ni wabinafsi. Akicheat yeye kwenye mapenzi wala ila akicheat mwanamke inakuwa shuguli pevu. Nisimulie kidogo, Hope mnakumbuka nishawahi kuja hapa nikilalamika kwamba mpenzi wangu ananunua malaya, mbali na kuwa alikuwa ananunua malaya alikuwa na wapenzi wengine wanne ambao niliwafahamu.

Alikiri kwamba ni kweli anafanya hivyo na kwamba yuko tayari kuacha na kubadilika kabisa, ila sasa tatizo likaja kwa hawa wapenzi wanne namuambia aniweke clear kama kweli kaachana nao wala hafanyi hivyo ndo kwaanza unakuta anachati nao.Kweli niliumia sana maana kila nikimwambia aniweke clear utasikia "Cherry mama kama huwezi kuvumilia ondoka. maana kama huamini kama nimeachana nao sina namna ya kukuaminisha".

Nikaona kuacha na moyo wangu hautaki nikawaza cha kufanya ni kucheat tu ili nipate relief, Kweli baada ya kucheat nilijisikia mwepesi na mwenye Amani kupita maelezo. Basi last week akagundua kwamba nacheat, akawa mkali utadhania sio yule aliyekuwa ananunua malaya na kunitumia picha za wanawake wake wakiwa kwenye kitanda tunacholala.

Kweli nilikiri makosa na kumueleza kuwa chanzo ni yeye. jana akaniambia eti nichart na mchepuko whatsap then nimtukane halafu ni screenshort hiyo conversation nimtumie. Nikaona huu ni Ujinga, nikamwambia busara hapa ni kuoa kwa vile umesema March unanipeleka home basi endelea na process uoe kama nitakataa.

Nikaona haelewi anakomalia tu screenshort, ni prove kama kweli nampenda yeye or mchepuko, nikamwambia siwezi, so akasema tusijuane nikasema poa. tukaachana jana rasmi.

Sasa ninachojiuliza hivi ni sawa kulalamika screenshort wakati nishampa go ahead ya kuniona? hii kukubali yeye anioe na sio mchepuko si ndo upendo, screenshort ndo upendo wakati nina simu mbili naweza weka privacy nikasave picha ya mchepuko nikajichatisha pale nikamfool.

Nikaona wacha aende maana mpenzi mwenyewe Dishi tu, ana salary nzuri but hana maendeleo, ukimshauri tufanye hivi hataki, basi fanya maendeleo yako kama mwanaume hataki, yaani mtu salary nzuri but maisha ya shidashida tu. haambiliki hashauriki.
Hapo naona mlikutana wote malaya ndio maana mmeshindwa kuelewana. Haya mmeshaachana kila mtu aendelee na umalaya wake. Asante kwa taarifa ya umalaya wenu.
 
huna lolote wewe hujafika penyewe nakwambia.utatoka kwa mbinde.

alafu anaongea kwa kujiamini utadhani unanifahamu!!! labda ulitaka nifike mara ngapi?? acha kukariri binti watu hawafanani so sio lazima kila mtu awe kama ulivyo.
 
Namsikitia sana huyu dada....hajui afanyalo
5 years baadae atakuwa changudoa per se...I pray Mungu aingilie kati kabla hajafikia huko.
 
Back
Top Bottom